@smartelservice: Karibu @smart electrical service kwa huduma nzur kabsa umeme SISI TUNAJIHUSISHA NA HUDUMA ZIFUATAZO 📍CIRCUIT PLAN 📍WIRING INSTALLATION 📍AC INSTALLATION 📍CCTV CAMERA AND ELECTRIC FENCE 📍MOTOR GATE AND VIDEO DOOR INTERCOM 📍INTERIOR MODERN LIGHTS Tunapatikana Mbezi mwisho dar es salaam 📞0682 123 708 @smart_electrical_service @smart_electrical_service @smart_electrical_service
kazi nzuriiii ila mazingira ya kufanyia kazi sio rafiki apo libido ufunge jukwaaa na kufika huko juu kweliii una njaa ila angalia usalama wako.....🙏🙏🙏🙏
2025-08-21 05:17:33
0
Erick William mwanga :
apo kujitesa angepiga mwanzo na mwisho sasa kupita hivyo nayo kazi kazini
2025-08-19 13:20:01
0
kalonda_307 :
pamoja sana kaka we ni familia electrical for life
@lastbornta electrical service.
2025-08-19 19:02:08
0
TRIPPLE E :
baba yupo kazin 💯💯
2025-08-18 17:59:56
0
Smart Lights ✨️ Solution :
😂😂😂hapo ndiyo unaona Raha ya kuwa mwembamba😂😂😂..
🤯🤗mwanaume yupo kazini😎😎
2025-08-19 22:54:05
0
filbert umeme :
alafu boss anasema hela yako wiki ijayo
2025-08-19 16:50:58
0
Official.bill :
safety first bro
2025-08-19 08:38:29
0
STEVER255 :
Risk risk risk
2025-08-20 17:30:10
0
Hp_jr8 :
Sio salama kabsa hii
2025-08-19 02:08:14
0
deusson99 :
never give up bro
2025-08-18 07:28:09
0
samson samson :
hapo belt n usumbufu wakuu...😁😁
2025-08-19 07:24:12
0
chulo...dady💫 :
zingatia..safety belt kwa kesho
2025-08-19 03:28:37
0
sully :
nakukubal san bro🙏
2025-08-18 08:49:11
0
Fafa Mukuru :
Kwani Scaffold ni pesa ngapi kuhire?
2025-08-19 09:10:10
0
ramso :
naomba kazii
2025-08-18 16:15:47
0
fredy moses98 :
pambana fundi
2025-08-20 18:23:39
0
Steven David :
nihatari sn
2025-08-19 10:25:21
0
To see more videos from user @smartelservice, please go to the Tikwm
homepage.