@kaka_wa_future: Leo tutoane ushamba,nawaelekeza jinsi ya kuendesha bajaji zetu hizi za umeme,ni rahisi sana sikiliza mpaka mwisho Nipigie kwa maelezo zaidi 0620372622 Location: kinondoni,mwanamboka dar es salaam #swahilitiktok #tanzaniantiktok🇹🇿 #fyp #forypupage #bajajizafuture
Uzuri wa elmo ukifika unakuywa soda unavyoweza 😂😂😂
2025-09-17 09:30:43
2
nasibu Said :
parking brake,
2025-08-21 10:31:03
1
🄼🄼🄰🅁🄴🄲🄰🄽_🄾🄶 :
kaka hizi bajaj za umeme hapana jana ilicho nifanya mimi napandisha mlima mkali upo dodoma njia ya kwenda chuo cha YUDOM sasa nipo na TVS lkn yenyewe ilivo nikata kama nimesimama iliniuma sana hio ya umeme shkamoo
2025-09-28 03:50:53
2
drey :
mnakopesha watu tulioko mkoani?
2025-11-11 11:01:14
1
Edi :
hello boss,bajaji za mkopo zipo?
2025-08-19 11:35:28
1
yohana :
bei
2026-02-13 11:05:29
1
Wambura Reuben :
kwenye mkopo malipo yenu ni makubwa mno
2025-08-19 11:49:40
1
Rich coconut 🌴 :
Mtaalam
2025-08-24 17:02:45
0
Rahimu Uchebe :
Kiazio Shingap mkopo
2025-08-20 05:52:36
1
KING BUDA :
MASHA ALLAH SAAAFIII👍👍👍
2025-08-18 13:44:15
2
Yuzzo Ngozi :
nomba namba zenu
2025-08-18 11:50:32
1
KERABA :
sasa tajir kwa mfano ikizima uko sehemu ambayo haina umeme au inatumia na mafuta pia
2025-08-19 06:32:11
1
hamisishija6979 :
nakuja
2025-08-20 08:25:44
1
Agness Alex :
kaka minaitaji niko mwanza nataje hiyoo
2025-08-18 11:11:18
1
Woods69 :
Kuchaji mdagani
2026-07-03 10:15:27
0
chicute🌺🌺 :
kianzio ngapi bos
2026-09-05 12:34:58
0
BAJAJI NZURI :
💪💪💪
2025-08-18 10:44:16
2
Jay_Real :
Unajua kakkk
2025-09-10 20:08:51
1
truck driver :
hiyo sio handbreak bnh ni parking break acha kukariri bnh😂😂😂
2025-08-20 15:36:34
1
To see more videos from user @kaka_wa_future, please go to the Tikwm
homepage.