@roc_tv: Kuna wakati MUNGU akikutenda Ushuhuda wako utaishi, historia ya mtumishi wa MUNGU @mirambepera ili mfanya Mtangazaji aombe wimbo wa mtumishi wa MUNGU @rehema_simfukwe wa USHUHUDA. Ulitazama kipindi hiki ukiwa wapi ? Weka maoni yako hapo chini twende Sawa. @mirambepera @rehema_simfukwe @zamoyonialex_official #viral #tiktoktanzania🇹🇿 #mungu #praiseandworship ##sautitherapy

Roc Tv
Roc Tv
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 18 August 2025 11:01:25 GMT
806283
56568
565
1797

Music

Download

Comments

rebbylicy
Rebeca :
hii nyimbo siku nimeona jina langu limetoka kwenye ajira ya serikalin aloooh niliimba mpka nkaliaa😂😂God is good and sweeet
2025-08-19 17:16:05
387
zanzifashion_mbeya
khanga za zanzibar :
wimbo wangu baada yakupata mtoto wangu wa kwanza, miaka mingi yakuitwa tasa
2025-08-21 06:55:56
161
._wambuatom
Tom KE🇰🇪 :
Guitarist 🔥👏
2025-08-18 18:12:29
55
annah.vice
babe gal :
asee alivoanz kuimb nkakumbk nlivofaul fom 4 na 6 kw maombi na kufunga jmn yesu anafany🥰🥰🙏wimbo wng pendw kila nikikmbk rehem za Mungu maishan mwangu
2025-08-18 18:43:17
73
shungu51
Shungu❣️ :
this wiki ntaimba huu wimbo inshaallah
2025-09-03 20:57:35
27
esterkaaya3
Ester :
lazima nishuudie kitu kupitia huu wimbo ,kama alivyofanya kwa wenzangu lazima nakwangu afanye 🙏 Asante Yesu 🙏
2025-08-21 12:35:04
30
adornmentieh
Wellsy🤍🦋 :
matokea yangu yanatok ijumaaa I guess..natunza huu wimbo alooh HALLELUJAH 🥰
2025-08-20 18:14:28
41
church.girl281
💖gyakie_joh💞 :
jaman nyie napendaga🥰❤️hiki kipindi kinaoneshwaga wap
2025-08-18 14:16:32
46
lizpayless
lizpayless❤️ :
kaimba kaa reehema vile🥰
2025-08-18 16:01:06
63
priscasozi6
priscasozi575 :
nilitoka upasuji nikiwa mzima ikiwa. nimeoza upande wa kichwa 🙏🙏🙏 Yesu anafanya Tena nimepona siamini macho yangu
2025-08-21 15:22:22
15
ushiiiy
ushiiiy💖❤️‍🔥 :
NAMPENDA YESU
2025-08-19 04:34:17
14
user2004315323468
user2004315323468 :
my favorite song💗😘 anafanya Tena na Tena 🙏❤️
2025-08-18 15:29:53
12
realmk_01
Mk🥰❤ :
Mlike nataka kurud😊😊
2025-08-19 09:40:01
10
user2792723555474
Oga Ogechukwu papa Franca :
mko vizuri nasikiliza nikiwa Italy
2025-08-18 22:09:13
12
mwamwindi2018
de boss :
Dada anaimba taratibu kwa uzuri wake yaaani hadi rahaaaa😊
2025-08-21 07:12:56
5
mackies81
Mackrina🤎 :
My favorite song🔥
2025-08-19 08:13:23
7
msuyakomba
janehenrymsuya :
mnanibariki sana kwa kweli Mungu awatunze
2025-08-19 05:14:22
7
barakamirindi3
BMD DIEU MERCI 🙏🙏🙏🙏🙏 :
Asante Sana kwa wimbo muzuri 🙏 mungu awabariki 💪 🙏 🙏
2025-08-20 18:03:05
6
moviesgeeks6
Movies Geeks :
MBONA KAMA WIMBO ANAUCHUKUA JAMANI.......🥰🥰🥰
2025-08-18 18:10:57
6
leticious29
leticious :
Wimbo unanibariki sana
2025-08-19 13:27:58
5
ndimutz
ndimutz :
naomba siku na muda wa kipindi hiki live?
2025-08-18 11:27:07
16
user9205808120780
Brian :
name of the song please
2025-08-18 14:28:10
17
janeth.barongo
Janeth Barongo :
eeeh milliam umeolewa lini jamani
2025-08-19 15:01:01
5
yearpugi
Yearpugi :
Amen, Utukufu wake Mungu
2025-08-19 04:28:53
6
user8454113031214
Vinaqra syzooz :
Heavens door zimefunguka jamani 🤗🤗🤗🤗😍😍😍
2025-09-25 11:52:45
3
To see more videos from user @roc_tv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About