@tbc2_online: Miili ya wachimbaji wawili, Michael Ngelela (26) na Macha Shabani (43), wakazi wa Wilaya za Sengerema na Misungwi mkoani Mwanza, imeopolewa katika mgodi mdogo wa Nyandolwa, mkoani Shinyanga, kufuatia ajali ya kutitia na kuwafukia wachimbaji 25. Hadi sasa, jumla ya wachimbaji saba wameokolewa, ambapo watatu wapo hai na wanne wamethibitishwa kupoteza maisha. #2Digital #JABA #TBC2UPDATES #TBC2YakijanjaZaidi #Tikiyakwanza2025

2Digital
2Digital
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 18 August 2025 15:20:40 GMT
316
23
0
0

Music

Download

Comments

There are no more comments for this video.
To see more videos from user @tbc2_online, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About