@shidiiz_: Ama ni uvivu wa kuchota maji😄 @Oshaynofficial

Hantaz
Hantaz
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 18 August 2025 15:39:28 GMT
313389
26677
1006
5568

Music

Download

Comments

malkia255
malkia💕 :
wanaume malizeni tofauti zenu na maji
2025-08-19 11:20:18
26
1mtafyatv
MTAFYA TV :
huyu kwenye kikao alikuwepo
2025-08-19 06:42:56
10
el_idris_hartmann
El-idris officiel :
eden hazzard 😀😀😀
2025-08-19 22:21:49
0
trez4_8
trez4_8 :
huyu kumbe familia
2025-08-19 17:18:13
7
user4175945416874
kelvin Nasir :
inaonekana kuoga ni tatizo la wanaume wote 😂😂😂
2025-08-18 20:03:40
569
baudoin.kasindi
Baudoin Kasindi :
Mwili niudongo sindaisha sasa 😂😂
2025-08-20 05:54:20
0
racky.one.brain
Racky One Brain :
Sio Kuisha Tu kuoga kunalegeza Matako
2025-08-19 19:11:12
12
bmzebest
simple the best :
Sheriaaaaaaa mwanaume anaoga mara 1 kwa wiki😂😂😂😂😂😂
2025-08-19 12:04:50
10
shamy2788
shamy🧕 :
😂😂😂😂😂kuoga unaisha vip jmn
2025-08-20 05:54:26
0
mr.kavumotz
Mr.kavumotz :
😂😂😂 kwa huu upuuzi wiwezi kukunyima like
2025-08-18 18:24:58
206
user5641190164300
me :
Wanaume na majiiiu
2025-08-20 04:44:41
0
missn2589
ney🦋❤️ :
😂 huyu ni mwanaume wangu kabisaaa
2025-08-19 15:13:38
12
user4001349105761
Salma :
uyu dada mbno amefanana na zuchu wa zaman
2025-08-20 02:45:11
0
ireene4555
ireene🦋 :
uishe kwan ww kifutio...sema rangi itapotea😂😂
2025-08-19 16:55:40
3
jimmy.cartel57
Jimmy Carter :
swali ndogo mbona tuliumbwa kwa udongo ila tukioga hatualibiki?🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-08-19 16:52:20
2
bplatnumz.01
bplatnumz :
😂mitano Tena kaka hawajuh Kam tumeumbwa na udongo 😁
2025-08-18 22:18:16
7
lie.ramazani
Élie Ramazani :
La dernière phrase là m'a tuée de rire 😂😂😂😂😂😂 toi tu es un phénomène 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
2025-08-20 04:59:35
0
pm1_4
Optimus :
kama hujaoa huwez elewa, yan tunaoga na kuswaki kuliko samaki🤣
2025-08-19 10:39:43
55
ommy.dee3
Ommy Dee :
ukikubali kuoga urudishe pumbu zetu😂
2025-08-19 17:07:27
12
musaboscomwilongo2006sa
MUSA :
kikaon ulikaa kiti cha kwanza
2025-08-18 20:19:07
7
arnold.zablon
Arnold Zablon :
sasa sintaisha ss😂😂😂
2025-08-19 14:43:18
2
revocatsmasal
🏡®Revocats®🏡✓✓ :
Kwa huu upuuzi wako hakika naku follow kakh 🤣😂😂😂SI nitaisha sasa😂😂😂
2025-08-18 20:13:55
7
wambosso99
kilawa :
🤣🤣🤣😂😂 yani uyu jamaaa kamamm
2025-08-19 15:43:41
4
ezramimbi573gmail.com
Director Ezra :
aaah familia😁😁
2025-08-20 04:37:32
1
wakishua.tz7
Wakishua Tz :
Dah mke wangu kakotea wapi huku huyu mwenyewe kabisa
2025-08-19 11:34:40
5
To see more videos from user @shidiiz_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About