@mbeya_icon: #swahilitiktok @@Prophetipm #motivation #foryoupage❤️❤️

𝕄𝔹𝔼𝕐𝔸_𝕀ℂ𝕆ℕ_🥀🇹🇿
𝕄𝔹𝔼𝕐𝔸_𝕀ℂ𝕆ℕ_🥀🇹🇿
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 19 August 2025 04:39:21 GMT
489207
35841
359
2883

Music

Download

Comments

ney74114
ney :
mm hapa sijui kuita baba Toka nizaliww
2025-08-19 04:42:29
61
wawany397
Wawany39 :
mim apa wazaz wangu walifarki kw ajali ya gar wote wawili kipindi nipo mdogo 😭😭
2025-08-19 18:05:10
28
kimmyrah3
kimmyrah6 :
na baba aliyepo hai lakin kama hayupo nayo ni sad vile vile😭😭😭
2025-08-19 16:20:48
28
avelina.peter
Avelina Peter :
yaaani kaka mimi sijawahi kulelewa na mama yangu toka aliondoka akaniacha na mwaka mmoja kwa bibi nimekuja kuonana nae nikiwa nipo from 4 yaani hata hamna upendo wowote japo kuwa yupo
2025-08-19 06:36:07
8
levinakanut
levinakanut@ :
Yan kaka angu kwakweli wenye wazaz wote kwanza wamshukuru Mungu ila pia wakae na wazaz vizuri , thaman ya wazaz ni kubwa kuliko kitu kingine
2025-08-19 10:36:29
11
mr.amisiwilondja
MR. amisi wilondja🇹🇿🇨🇩🇨🇦 :
nikweli
2026-02-03 23:48:19
1
neey579
@mama Brighton 🥰 :
mm mama angu simjui hata sura tu nimekuwa kwataabu sanaa 😭😭
2025-08-19 10:35:33
9
user95961286519721
💞 fatma 💕 cute 💞 :
Kweli kabisa
2025-11-09 11:14:03
1
rosesingu
rosesingu :
mhhhh😭😭😭acha kabisa mtumishi
2025-08-20 18:04:28
1
mamsun.muhamed.al
Mamsun Muhamed ali :
jeee kwa walio telekezw na baba zao unajikuta unapambania maisha na uhai wako hata wakati bado😭😭
2025-08-23 17:17:36
1
its_realrey
itsreyoutfits👗👖👜🛍 :
wewe unaesoma msg hii siwajui wazazi wako lakini nawatakia maisha marefu na kheri,, hongera uliojaaliwa kuwa na wazazi😌😢
2025-08-20 09:33:32
7
jemila79
mind my own business :
😭😭😭😭😭 na hatujui kupendwa ni nn
2025-08-21 01:27:06
1
oumartanakulahass
OMMY BUSINESS.POUVOIR :
wote tulio na baba gongeni
2025-08-20 21:15:38
1
comfortbae235
🌷comfort 🌸🇹🇿vs🇬🇦 :
Ni zaidi ya maumivu tuliyonayo 😞
2025-08-19 19:55:48
5
662lilian
lily💓💓 :
Yan we baba mungu akupe maisha maref kwakwel mm naamin wanaume wote ni baba wanawake wote ni mama
2025-08-19 06:08:52
5
user1417618338386
Akanji45 :
kama unampenda mungu gonga like ap
2025-10-10 09:54:40
2
priyank2268
priyank2268 :
true Mungu walinde wazaz wang
2025-10-04 12:41:16
3
maryamurubavu
Baybe mamuh :
mimi sijawahi hata kuita mama 😢😢😢😢😢😢hakika inauma sana hata picha mimi sijawahi kuona hata picha yake inauma sna
2025-08-22 19:27:55
3
merinaoy44
mary :
kunachangamoto napitia nataman ningekua na mama yangu lakin sina uliniacha nikiwa mdogo sana 😭😭 leo nimekua nimepitia mengi sana mama yangu hadi nashindwa kuongea
2025-08-20 08:28:32
5
commandocharles29
Commando Charles :
sijawahi kumuona mama toka!! nazaliwa ila nasikia tu yupo!! 😭😭😭😭😭😭😭
2025-08-20 02:04:23
2
janethkiwili
janethkiwili :
upweke ni mzito mnooo
2025-10-07 16:17:39
1
user88100214154935
AFRICAN CHOICE :
nakupenda mzee baba
2025-09-02 11:22:12
1
edinaoffically
edina :
dah 😭😭😭 kuna sis ambao hatujui malezi ya mama wala ya baba😪ila kazi ya mungu haina makosa
2025-08-21 08:11:15
1
user1599397902594
GIDEONI MAGODORO :
nalia kwa uchungu dadi rest in peas
2025-08-19 15:58:07
3
furnitureog
furnitureog :
upo sahihi
2025-08-22 06:09:00
1
To see more videos from user @mbeya_icon, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About