@siasazabongo: kesi inavyooenda Zito Aingilie Kati

Siasazabongo
Siasazabongo
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 19 August 2025 06:15:31 GMT
132853
4732
444
225

Music

Download

Comments

gredrfvrxxrfg
just fine :
Mwacheni habaki jera na jeuri yake ya kipumbavu kauri yake heti nikitoka jera naenda kukinukisha hata km mimi rais ningemtia adabu tu
2025-08-19 19:09:26
1
user2349966811276
user2349966811276 :
Lissu haitaji huruma yenu lissu anataka haki sio huruma🤣🤣🤣 Lissu ndiye mpinzani pekee Tanzania no reform no election
2025-08-19 13:37:27
61
xxmm148
xx52762 :
Nadhani sio suala la kuomba. Huyu Mhe hana kosa. anaonewa tu na serikali dhalimu ya CCM. Aachiwe bila masharti yoyote.
2025-08-19 21:12:26
0
vailethyshayo
Vailethy [email protected] :
Ebu nyamaza bwana mtu hana kosa unaombaomba nini?
2025-08-19 17:54:09
7
bariki1990
barikiraphael :
Tunahitaji haki itendeke hatutaji huruma
2025-08-19 09:45:34
30
user2868334081278
Erastor :
Bora ww kuliko Mboo e
2025-08-19 18:11:48
2
user99938465216822
makundi j :
na Mimi niliwaza hvyo aombe tuu msamaha aache ujeuri😂
2025-08-19 12:19:02
2
10405mza
10405mza :
Jamani huyu mwamba yeye anachotafuta ni " kick" ya kimataifa. Na hayo matokeo ya hili yeye anayajua vema kama msomi wa sheria. Acha aseme mwenyewe.
2025-08-19 17:06:51
0
kalumba425
Kalumba :
Unafiki mtupu.Mwacheni Tundu Lisu.Wewe ni mnafiki.
2025-08-19 22:17:28
0
chugab52
Chugab52 :
upo sawa Zibo umetumia hekima na busara kaka.
2025-08-19 19:16:02
0
mstaphaisabuda
The Great Isabuda :
Sijaelewa hicho kikao yupo nani? yupo Rais au?
2025-08-19 15:46:27
0
godwinimsaki
Msaki Diga :
Alikua mboe enzi za hotuma ya maombi yako
2025-08-19 15:17:38
0
user2740986578432
user2740986578432 :
zito makini sana
2025-08-19 10:37:31
31
leopoldkwigize336
Leopold Kwigize :
hapo ACT nimeanza kuwaelewa
2025-08-19 16:32:32
0
uagastine.lwila
Augustine Lwila :
hii yazamani alikuwa anamuongelea Mbowe wakati yupo ndani
2025-08-19 15:10:23
0
jumaanne.s..feiru
Jumaanne S. Feiruz :
kwani yeye mwenyewe asiombe huo msamaha!!??
2025-08-19 11:19:49
6
user9229534429690
user9229534429690 :
Fateni haki Lissu yeye amesema hahitaji huruma. Anataka haki itendeke.
2025-08-19 17:36:00
1
omary7268
M J :
Hawamuwezi tundulisu that’s why wanatumia nguvu sana ya dola
2025-08-19 21:06:44
1
las.vegas432
Las vegas :
kwan lissu kasema anataka msamaha...
2025-08-19 14:05:24
1
chiefuthedoni2
chiefuthedoni2 :
Hi nchi kama we ni mgeni huwezi jua wala kuona chochote!
2025-08-19 14:13:46
0
uwezaa
kiyama :
HII HAIKUWA KWA LISSU BALI KWA MBOWE,LISSU HANA CASE,NI UHUNI TU ULE
2025-08-19 18:24:45
0
dahuu.mk
Dahuu Mk :
MAMA LISU MITANO TENA JELA AACHE DHARAU 😂😂😂😂😂😂
2025-08-19 12:42:14
2
fereferembutuli
Angoni :
Jamaa Ana-Set Stage
2025-08-19 15:18:36
1
noni.umwene
Noni Umwene :
Acha uzwazwa nyoka wa kijani wewe
2025-08-19 16:50:29
0
manalla007
manalla007 :
Baada ya uchaguzi kuna maisha
2025-08-19 17:25:39
0
To see more videos from user @siasazabongo, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About