Sasa kakaa umeeka kila kona halafu zipo 3 kwahiyo nyumba ina kona tatu au😎😎😎
2025-08-21 17:28:03
11
Lyrics Mix :
uyu anaeza nyoa na kichongeo
2025-08-21 05:25:22
3
Man Tz🇹🇿 :
huyo sio mtoto😂😂
2025-08-19 14:19:33
19
' :
Huyo fundi umeme anakata beam dah
2025-08-19 13:06:32
5
josephpeter863 :
piga kazi kaka ukija kibamba kwa mshua nicheki tukutane kwani aliniambia upo mkoa
2025-08-20 20:08:36
0
mashotoney ndeli :
nilichogundua kuna watu wana comment vibaya ili dogo aonekane ameharibu kazi ila nilichopenda yeye mwenyewe kama yundianajua kujielezea vizuri hata mimi napenda sana zile taa za kwenye ngazi ila sikujua kama mfumo wake uko hivyo nimependa sana,halafu ilo box likikaa ndani linakua na mwonekano gani seblen ao unaliweka juu ya dari lisionekane
2025-08-19 16:53:50
5
emmanuelsanga335 :
chuga inabid mpige mishe kama hizo siyo kutwa kujiita wadudu
2025-09-06 13:42:59
4
Nazah John💝💝 :
Alie kuwa hajui kuwa iyo box jina lake la kizungu ni water proof aje apa a like😅😅😅😅
2025-08-20 08:33:16
12
JEFF MASTER 5🇹🇿✈️✈️🇦🇪 :
nakubali Engineer sasa mwanangu inabidi uvuke Dar uje ufanye kazi yangu ngoja nirudi mana nipo majuu ila nna mwezi tu likizo tunatoboa?
2025-09-15 06:46:56
2
konga :
arusha hawa pimbi mnawtoa wapi
2025-08-23 07:45:52
0
Young lady 💕 :
kaka kama kaka
2025-09-01 10:10:08
0
Dully..........🇹🇿 :
fundi amenyooka na ameeleweka kama mkubali fundi gonga like zifike 10k
2025-09-09 07:48:23
5
carlinhostz_38 :
kijana ukija kuoa demu ya kikatiti au ngusero izo akili zooote zinaisha😃😃😃
2025-08-27 13:02:49
1
Zungu boy 🇺🇸 :
Son vip
2025-08-20 19:23:30
0
Jahmiel Martine :
nakupata fund nakujua upo mbez kaz zako sio mbovu mani
2025-08-20 20:06:37
0
Omie✨ :
Mchumba
2025-08-19 21:40:01
1
paul umeme :
bombo umeweka chache
2025-09-14 20:19:18
0
𝕞𝕣 𝗛𝗲𝘅𝘇 :
toa kofia kwanza nataka kukua sure na kitu naona
2025-08-21 03:03:16
0
kelvin masawe :
makini sana engineer mm nakuelewa
2025-08-19 21:26:00
0
RAIS WA MAISHA YANGU :
safi fundi
2025-08-21 02:07:09
0
Engineerstev tangastone :
Kwisha enyew mdogoooo 🔥🔥🔥
2025-08-20 04:22:08
3
To see more videos from user @sonmsouth, please go to the Tikwm
homepage.