@ms_munno: ANZA SASA…WE ANZAAAA UTAJUA MBELE KWA MBELEEEE! . @Divine_wellnesstz @Divine organics 111 #fyp #munno111

Munno_healer🪄
Munno_healer🪄
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 19 August 2025 12:08:40 GMT
47898
5196
215
239

Music

Download

Comments

weight_management_coach
Xunnie_juice :
Kuna siku ulisema “hiki ni kipindi kizur cha kuanzisha jambo.” You pushed me and i took leap of faith nikaanza biashara yangu ya juice🥹 day 2 mtu kaview my status akanambia “umechoka ivo hadi unauza juice”🥹 dah skulala siku ile niliiamrisha dunia kua hii biashara itaniheshimisha mbele ya watesi wangu and guess what the top is waiting for me. 🥹🥳❤️
2025-08-19 14:16:08
42
bahatijohn55
bahatijohn55 :
Leo kila mda kila sehemu naona namba 1111 ina maaana gani ??
2025-08-20 19:07:04
1
rosemarymungure
I'm ROSE BRAIDS🌹 :
haya nibebe mimba sasa😂🤗umenipa ujasiri
2025-08-19 19:25:17
4
the.bettermom
The better Mom :
pin hii comment, alafu nipe miezi mitatu tu. nimeanza jambo ambapo sijui hata order zenyewe nazimudu vipi lkni ndio ivyo nimeamua kumsikiza dadangu mchawi😭❤️❤️❤️
2025-08-19 16:55:25
8
cathyrous255
Thyndiswa ❤️ :
nimepost viatu na Sina Ivo viatu na nimeambiwa ni delivery Kwa mtu Yan imebidi ninunue viatu nimpelekee... najiuliza apa hela natoa wap😂😂😂yakununia mzigo mwingi na wateja wanaulizia....msikilizeni munno
2025-08-19 13:22:16
40
user10293349614125
🥰 :
Asante dada mi niliachishwa kaz nikaanza biashara ila Sina mtaji wa kufungua duka nikawa natembeza sasa aibu jmn nashindwa kutembeza kwa kuhifia watanionaje🤦
2025-08-20 07:17:58
1
datuu_98
BeeMzury💝 :
na hii siku nilijiungamanisha na energy yenu mkiwa pale GOLD CREST mimi nikiwa nyumbani GANA ROCK CITY kwa sabab sina kiingilio cha kufika hapo nilijiungamanisha na nikavuka mahali na nyiee....aweeh🥰 hakuna kukaa kizembe..nilisema munno yuko mwanza ela sina ya kwenda lkn chochote watachofanya na mimi nimefanya kwa sababu mim pia nko mwanza ..and guess what...vifungo vilifungukaa shwaaa mimi peke angu najua nilichovuka wakati ule.
2025-08-19 19:36:26
3
h2collection3
Chimbo la nguo👗👕 :
Hapa eti naogopa kuingia live kuuza nguo Jmn 😭 Ila naamin ntaweza na naenda kuanza kesho vyovyote itakavyokua nitajipongeza kwa kuchukua hatua ,Barikiwa kwa kutuamsha my dear
2025-08-19 16:44:53
3
manhood038
Manhood😶‍🌫️ :
ashwagandha unayo??
2025-08-20 13:30:58
0
gemmagemma721
Healing Moon 🌙🕊️ :
Huyu n mm kabisa nafsi yangu inataka kufungua cosmetic and beauty but naogopa mpka sijui nifanyeje 🥺🥺🥺🥺🥺🥺
2025-08-19 14:36:16
0
furaha5624
furaha :
dada naomba unisaidie kujua nyota yangu 15/7 please naomba
2025-08-19 12:44:20
0
minah210
Aminah :
mimi leo nimejawa na uthubutu wa kufanya jambo flani ambalo kila siku nafikiria af napotezea ila leo najikuta nimesimama nalo af nakuja kukutana na hii video 😢 wacha nilipiganie kuanzia sasa huenda litatimia
2025-08-19 14:15:27
7
momovictory
Momovictory :
Is it crazy that i could feel your energy throught this video ni kama unataka kulia kwa furaha unatamani tuelewee deep i dont woi😩😩😩
2025-08-19 12:29:16
9
dealify.tz
dealify.tz :
This video hata nikiisave naona bado sijatendea haki!!🔥 Sijui niiweke wapi 🥹❤️🔥🔥🔥
2025-08-19 13:59:26
9
certified__taurus
Vivi🌸 :
Yesss you did it🫶 na tulikuamini nilitoka dar mpak mwanza tulikula na kupata maarifa bila kusahau tulipendeza mwanza master class was🔥🙌
2025-08-19 12:20:45
17
riskboytrapper
Riskboy :
fundi nakukubar
2025-08-19 17:52:12
1
isher8910
eisher10 :
I came across this video and i have started my business after a long time dah like a coincidence thank u dear
2025-08-19 14:55:24
8
njerimwaura475
njeri wa mwaura/psychologist :
Muna you have really helped me in changing my life through ur video I only imagine what it will be if I attend the master class..I know am coming soon
2025-08-19 17:19:20
0
firefly614
firefly 🥳 :
Mimi sipend hili swali "utaweza?"🤨
2025-08-19 13:02:17
12
moureenmingzhu
Momo :
Uyu ni mim kabisa yan i wish kweli nianze biashar y kids clothes lakn hofu iliyoko ndan yangu mungu ndo anajua najiuliz maswal mwenyw n kujijibu mwenyw🥹🥹🥹nawaz nianze wap naanzaj je nitawez yan duh😩
2025-08-20 19:59:40
1
user2414952800597
Cute :
Asante dear 🥰
2025-08-20 05:26:38
0
ms_treasure0
Ms_Treasure🥰 :
And we were there for you ❤️❤️❤️am so proud of me since that day , be blessed
2025-08-19 14:29:00
1
candycherry88
candycherry :
Munno ni kweli napitia ...lakini nmeshindwa kufocus uzuri wako unanidistract 🥰❤️
2025-08-19 15:38:03
1
user6960143442548
Grâce kaseso :
bonjour
2025-08-20 05:38:04
0
cuteidar
saidar❤️ :
naomb like ili nirud
2025-08-19 20:44:27
3
To see more videos from user @ms_munno, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About