Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
How To Use
Language
English
عربي
Tiếng Việt
русский
français
español
日本語
한글
Deutsch
हिन्दी
简体中文
繁體中文
Home
Detail
@dalali_zanzibarone: #creatorsearchinsig MASTER NA JIKO ZINA KODISHWA ZIPO FUONI KIBONDE MZUNGU BEI:LAKI 1 NA 80 KWA MWEZI DALALI MWEZI MMOJA.
Dalali Zanzibar one
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 19 August 2025 15:59:33 GMT
17512
214
30
83
Music
Download
No Watermark .mp4 (
9.67MB
)
No Watermark(HD) .mp4 (
9.67MB
)
Watermark .mp4 (
0MB
)
Music .mp3
Comments
Lady honey :
yaani mko karne ya 10 bado vyoo vya kuchutama?
2025-08-19 19:00:38
1
Lozzy official 💞 :
Wekeni vitanda mfanye guest house bass hakuna chumba Cha 180 hpo msifanye watu wapuuz, chumba ukiwek kitanda kimejaa,
2025-08-19 21:51:07
7
Mundhir Amour :
miezi mingapi
2025-08-19 18:25:44
0
B white :
harafu anasema master jiko.ss jiko ndo liko wapi hapo au kupikia kibarazani broo.😂
2025-08-19 20:01:59
2
︎Kitunguuuuu :
labda ufute hio sifuri ya mwsho 😭
2025-08-21 14:46:08
0
Haud :
engeli weka nondo hapo mtu anafanya ata ukumbi akisha ziba
2025-08-20 07:57:23
0
Lastborn_tz :
apa ata ww dalali alipokuambia 180k ukacheka ndani ndani, 😂😂😂 pesa ilivo ngum hiv 😂
2025-08-20 03:16:34
0
emmyy :
Namba ya sim
2025-08-20 07:13:34
0
fahmizo :
iyo kweli master mana ni kama uchochoro
2025-08-20 09:24:29
0
Aliy يوسف :
dah mambo yakitwana kupika nje ....unajenga kwa gharama kubwa unashindwa kumuekea mazingira ya kupika ktk stara....mambo yakitwana hayo
2025-08-20 04:05:42
2
user4120074714192 :
Hiyo ni varanda na sio jiko kwnz sijaona hata switch hapo au sijaangalia vzr
2025-08-20 14:09:29
1
Mmadimusso Khamiss :
vidogo Mzee jiko nje na beio
2025-08-20 04:09:49
1
Lady honey :
badilisheni utamaduni wa vidirisha vidogo fanyeni milango ya madirisha mpaka chini nyumba iwe na mvuto ukieka pazia litulie
2025-08-19 18:59:20
0
HSN@BOY🇩🇪🇹🇿 :
hahahahha huyu jamaa alikusudia awekee gest .tu 😅😅😅😅 ilo jiko lipo wpi .na icho kidirish cha chumbani hahahaha hapan kwa kwl . 1.80000 😅😂
2025-08-19 21:11:11
0
PÁQØM3 :
😁
2025-09-05 08:38:35
0
Dian Ali :
💓💓💓💓💓💓💓
2025-09-04 09:18:39
0
سعيد :
chumba ka banda la njiwa af 180k😂😂
2025-08-24 20:12:29
0
To see more videos from user @dalali_zanzibarone, please go to the Tikwm homepage.
Other Videos
#fyp
UzeeennASzeell‼️💨✌🏽#csaknekedcsakmostforyou😁🥰 #4you #csakneked #kozoldujra❤️😍 #robbanjon_a_foryouu⚜️🌸💕⚜️ #lajkoldszet✌🏽🤍🧸 #pusztuljonfyba #csaknemegyforyou?
@Danielle Jonas Co. @Danielle Jonas #djco #daniellejonasco #lucky
Que le voy a hacer 🤷🏼♀️
🙏🙏🙏🙏🙏🌷🌷🌷🌷#song #nepal #fyp #tiktok #creatorsearchinsights 💐💐❤️🩹
About
Robot
Legal
Privacy Policy