@tv47_ke: Rais ajisalimishe kwa jopo na atoe ushahidi wa ufisadi bungeni: Enock Wambua Rais Ruto amesema kuwa ameunda jopo la kuchunguza ufisadi bungeni, kwani hana imani na EACC? Rais ajisalimishe kwa jopo na atoe ushahidi wa ufisadi bungeni. - Enock Wambua, Sen. Kitui. #UkumbiWaSiasa