@oscar_mkatoliki: Padre Gaston alifariki mwaka 1992 akiwa anahubiri. #oscar_mkatoliki #catholic #tiktokkenya🇰🇪🇰🇪🇰🇪 #tiktoktanzania🇹🇿 #padregastonhurtubise

Oscar Mkatoliki.
Oscar Mkatoliki.
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 19 August 2025 18:08:20 GMT
55780
3199
103
174

Music

Download

Comments

kalinjumaelias
Kalinjuma Elias :
ROMAN CATHILIC Ni dini ya kipagani inahubiri uongo mtupu na kumtukuza bikira mary kuliko Yesu
2025-08-20 05:49:03
2
prissykp
Prissy :
hivi ni mimi peke yangu huwa naomba kifo changu kinikute nikiwa naifanya kazi ya Mungu au katika nyumba yake au kuna mwingine anaomba hv!!???
2025-08-19 19:08:30
36
mdugopictures
mdugopictures :
Kama nakukumbuka from ifunda eeh??
2025-08-20 20:20:00
1
254truth1
+254 :
IKO WAZI DUNIANI...KUNA WAKATOLIKI NA KUNA WAKRISTU.......kama unapinga njoo na hoja
2025-08-20 12:15:06
0
bmp_family
BMP family :
Hawa mapadre wengi wanaujua ukweli, sikiliza maneno yake ya mwisho hapo hajataja Maria kama muombezi wala msaada wake, hapo kataja roho mtakatifu na Neema ya Mungu
2025-08-20 04:30:56
3
jaykiym
jaykiym :
Tumsifu yesu Kristo.... Ee Mungu wangu naomba unijalie mwisho mwema
2025-08-20 00:59:03
12
user2222606812132
user2222606812132 :
hiyo ni baraka na neema ya wachache sana 🙏🙏
2025-08-21 03:17:23
4
bikowabikos
bikowabiko's :
ee Mwenyezi Mungu Unijaalie kifo Chema🙏
2025-08-20 07:08:28
9
saul78163
Saul :
kifo mathabahuni ni Bora mno
2025-08-20 14:55:11
2
jmrema
jmrema :
naona utapatwa na mshangao ukitukuta wakatoliki mbinguni😄
2025-08-20 09:18:28
4
pf_the_great
Paschal Mgassa :
nakumbuka kuitazama clip hii miaka kadhaa iliyopita! very touching
2025-08-20 07:45:25
5
liberatuskamugisha
liberatuskamugisha :
very touching 🙌
2025-08-20 11:04:42
3
ntinda72
NTINDA :
alafu alikua mkapuchin
2025-08-21 05:28:38
2
cosmetics919
Tz cosmetics :
dah!!!
2025-08-19 18:19:43
2
apostle.mqn.himse
apostle mqn himself :
Nenda kanywe mafuta
2025-08-20 06:20:17
2
collinswangila182
Collins Barasa :
kazi nzuri kaka
2025-08-20 18:30:36
2
herieth.ludovick
Herieth ludovick :
Mwenyezi Mungu atujalie kifo chema
2025-08-20 12:46:44
1
balthasar7643
balthasar :
vizur kaka ❣️
2025-08-20 18:49:44
1
user5268187675344
user5268187675344 :
Mungu atuwezeshe kutambua ujuu wake, pamoja na dunia kuwa na mambo mengi Ee Mungu utusaidie
2025-08-19 21:14:29
1
kimbaeg0
kitundunalogwa2 :
tukio hilo lilitukia wapi mtumishi
2025-08-19 18:17:18
1
gama891
Apostle Gama :
anachosema n cha kiroho wew hiyo rozar n upagan
2025-08-21 03:17:59
0
happykingazi559
Happy Kingazi :
Amen
2025-08-26 14:08:21
0
2020tobias
Tobias langat :
uniombee padre nifanikiwe maisha yangu na ombea mama yangu ni mgonjwa
2025-08-22 19:23:35
0
sabunitv0
sabunitv1 :
dah
2025-08-19 23:05:01
0
user8103923825929
AllmjemaTz :
Hiyo sauti ilikuwa haiashiri kasoro,kuna siri kubwa.
2025-08-20 18:48:38
0
To see more videos from user @oscar_mkatoliki, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About