@efathachurchkigoma: NAFASI YANGU, UMILIKI WANGU! Katika maisha ya kiroho na hata ya kawaida, kuna nafasi ambazo Mungu huziweka kwa ajili yetu, lakini hatuwezi kumiliki pasipo kuzitambua na kuzichukua kwa ujasiri. Kuna watu wanakaa pembeni, wakitazama wengine wakipokea, wakimiliki na wakisonga mbele, ilihali wao wameandaliwa sehemu kubwa zaidi! Muda umefika wa wewe kusimama, kuchukua nafasi yako na kumiliki baraka zako. Je, uko tayari kusimama imara katika nafasi yako na kuutwaa urithi wako? Usikose kuhudhuria Kusanyiko Kuu la Wana wa Mungu litakalofanyika katika Kanisa la Efatha Precious Centre – Kibaha, Mkoa wa Pwani. Kuanzia tarehe: 6 - 12 Oktoba 2025. CHUKUA NAFASI YAKO – MILIKI ULIVYOKUSUDIWA! #NafasiYanguUmilikiWangu #KusanyikoKuuLaWanaWaMungu2025 #TukutanePreciousCentreKibaha.
EFATHA CHURCH KIGOMA
Region: TZ
Tuesday 19 August 2025 19:13:07 GMT
Music
Download
Comments
Annemarie :
Amina ❤🙏
2025-08-20 11:34:29
1
1 :
Amina
2025-08-29 16:08:52
1
To see more videos from user @efathachurchkigoma, please go to the Tikwm
homepage.