@tlacmeh: SIKILIZA HADI MWISHO #Motivation @For you #fyppppp #jeolnauka #tanzaniatiktok🇹🇿 #kenyatiktok🇰🇪 #viralvideo #TlaC MeH 15:31

TLaC MeH 15:31
TLaC MeH 15:31
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 19 August 2025 19:40:59 GMT
109790
5268
161
859

Music

Download

Comments

user7581618106599
user7581618106599 :
usingesema kiherehere ningemtumia mume wangu anapenda kusaidia ila sasa hayo maneno uliyotumia (kiherehere) duuh naona kabisa ataona nimemwambia anakiherehere.ujumbe mzuri msiwe mnaweka baadhi ya maneno tunashidwa kuwatumia watu tunaowaheshimu
2025-08-20 11:57:06
20
dayanatarimo626
Mrs beast prey :
wale wa kulike video tano tukisonga
2025-08-20 06:12:14
13
gracedaniel48
gracedaniel48 :
Ahsante sana,nimejifunza kitu kikubwa.
2025-08-27 18:42:27
0
vumilia.lumato
Vumilia Lumato :
Kuna siku jirani alikuwa kwa mama mama niazime mia tano mama akasema Sina sasa Mimi mgeni niliefika Leo njoo uchukue hii apa mwe alivoondoka roho iliuma sana mama alisema huyo anahiyo taba Mimi sipendi tabia zake, janami nimekuwa nikimuota sana huyo mtu
2025-08-20 08:18:40
10
kids_starlook
kids_starlook :
Wale wa kulike video tano, nalipa chap chap
2025-08-20 10:32:59
0
its.aziz74
Azizi mwatika🫂 :
Mi ata iwe ndani kwetu kitu chochote kama hakinihusu sikigusi, wala sijitii kihelehele🙅
2025-08-20 04:56:23
21
user9552846737497
@bad girl :
umenifunza asante
2025-08-19 23:02:46
12
innocentkavenuke
Innocent kavenuke :
Dah NI KWELI KABISA!!!
2025-08-20 05:54:58
3
user5500811523234
Ally :
siwezi kusema
2025-08-26 14:47:33
0
user3930510961467
vaileth philmon :
❤asante kaka tenaiyo tabia ninayo,kuanzia leo nimekoma
2025-08-25 14:16:36
1
chrecensia
Mtoto wa Mama Maria :
nimejifunza kitu kikubwa saba leo 🙏🙏🙏
2025-08-20 10:35:05
2
ombeni.kabangila
Ombeni Kabangila :
Asante baba 🙏🙏
2025-08-29 07:37:36
0
dee.wa.vee
dee wa vee :
tunakushukuru kwa fundisho zuri sana, Mungu akubariki
2025-08-20 20:24:36
2
mandomineymer0
Mandomi. 🇹🇿🇱🇷 :
Hii ilimkuta rafki yangu,saa hii amefilisika,anawakati mgumu,aisee acha nim tag,hii ita m touch sana😪💔
2025-08-20 14:24:42
2
hidayasuleiman531
hidayasuleiman531 :
umenifunza kitu kikubwa sana broo🙏
2025-08-20 10:47:27
3
speazasimu
Ts Vioo.vya_simu_tz :
Yah Ulimwengu mzito snaa huo hamwez kuelewa
2025-08-20 13:51:21
2
ashseri.peter
asheri peter :
Ahsante sana ndugu yangu mungu akubariki pia
2025-08-20 07:51:15
2
chumy269
𝗠𝗘🦋 :
Huwaga naambiwa ninakiburi me sipendi kuwa na kiherehere...
2025-08-22 12:59:22
1
user9755703239005
David Athuman :
duh mkuu umesema kwer kak umeongea oint
2025-08-19 22:33:20
2
crispin.romeo
Crispin Romeo :
shauri yako ni nzuri sana verry iteresting
2025-08-20 15:13:26
1
say.de.queen0
sis claree @@ :
Hiko kinaitwa kiherehere mpato
2025-08-20 06:29:51
1
johnsonmosha0
Johnson Mosha406 :
Asante sana kwa somo hili💯💯💯
2025-08-20 14:13:57
1
merry.lema
marry lema :
asante kwa elimu
2025-08-20 13:24:27
1
frankmugambi6
frankmugambi6 :
Nakubaliana 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥
2025-08-22 00:10:23
1
lilianachieng567
Lachu :
Ukweli
2025-08-20 07:53:30
1
To see more videos from user @tlacmeh, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About