doctor naomba nielekeze dawa ya ganzi nasumbuliwa sana hasa ucku ninapolala inanishika sana kwenye viganja vyamkono mpaka vinakakamaa nisaidie please
2025-08-20 19:18:54
1
anita :
vipi pia kuuma Kwa miguu na kiuno
2025-08-21 20:33:52
0
baby naa henna :
picha ya Jani ya msharufu
2025-10-18 15:40:54
0
Beatrice Mobali :
mwalimu musharifi ni nini
2025-10-16 09:52:57
0
ivan :
msharif ndo jani gani hilo
2025-10-18 19:13:30
0
Miss me_only me :
Msharifu wapatikana wapi
2025-10-15 10:34:51
0
Chid Chikoyi :
mshalifu ndo mtu Gani doctor
2025-09-29 20:48:00
0
getrudekakorozya :
kuhusi vichomi kwenye moyo nitumie nini?
2025-09-27 12:11:57
0
Nuru Mwakalindile :
doctor naomba tiba ya madonda ya koo ni miez mitatu hayapon na dawa za hospital tafadhal
2025-08-21 07:08:28
0
hijja :
doctor huo msharifu ndio Jani Gani Hilo??
2025-08-20 10:28:00
0
hannat341 :
Ahsante sana mm NILIKUWA nasumbuliwa na miguu NIMETUMA nashukuru SANA
Mmungu AKUBARIK
ahsante sana
2025-08-21 04:22:51
0
the barber 🇰🇪🇰🇪 :
mshalifu ndio gani wakuu ?
2025-08-20 12:47:27
0
0746384826tiktok.com/@user4684 :
mshalifu ndo gani doctor
2025-08-27 19:25:43
0
mariemary :
ukoje uo au naupata wapi
2025-09-23 12:03:43
0
nancy :
saa singine ongeanga English hauelewi kiswahili
2025-08-21 15:03:02
0
Maggy :
hatuujui msharifu
2025-08-20 18:14:19
0
ayu :
mshalifu ndyo mti gani
2025-09-26 10:33:34
0
Johny :
Please peana ya arthritis pia
2025-08-20 14:30:01
0
lee lee lee :
msharifu ndio nini jmn?
2025-10-22 18:02:47
0
mwajuma566 :
msharifu ukoje naomba tuonyeshe
2025-08-20 16:17:15
0
leilagoa7 :
misharifu yangu imegoma sahizi kupendeza
2025-08-20 10:53:00
0
Schola Chacha Nzwilli :
picha ya Jani la msharifu please
2025-08-20 11:54:30
1
Yusuph Metu :
Kuna kitu Mimi nashindwa kukielewa uyu kaka Kuna video yake Moja anasema juice ya kabichi na juice ya tango mchanganyiko wake ni SAWA mjarabu ya vidonda vya tumbo
na kwenye ii video anasema tena dawa mjarabu ya vidonda vya tumbo ni msharifu na karanga Sasa tuelewe ni mchanganyiko upi ambao ni dawa mjarabu?
2025-10-15 06:30:37
0
Gee🦋 :
Ndo jani gan hili jmn
2025-08-19 20:26:05
1
To see more videos from user @aboubakarsadik01, please go to the Tikwm
homepage.