@kenyafitnessplug: For everyone who has been asking about the ingredients of Omena 6000 — here it is! @Peter Ochino2022 emphasizes that in his 20-year bodybuilding career, this food has been a key factor in helping him grow his physique while staying on a minimum budget. For more information about Omena 6000, reach out to him directly at 0714471404. #kenyanchamps #kenyafitnessplug #nicomutisya #kenyatiktok
one scoop is 120gms of protein??? what??? that's 80% of my daily protein requirements. Please package, kama haitaste vibaya sana you have a customer in me
2025-08-20 09:40:01
16
c_sanya :
This recipe looks familiar like what we used to take as kids, guys from Western and more so Nyanza can remember the recipe mostly used for porridge
2025-08-20 17:58:51
14
nems064 :
toa soya hapo,just google
2025-08-20 11:41:57
2
🔚 :
can someone rename the product the said in English please drop below thank you
2025-08-20 17:52:54
1
user5976298558202 :
hii ni mharo guys 😏😏
2025-08-20 10:51:30
5
shadydy :
my people from lake side lasima umesema wewe unatumia supplements za USA yaani umeomoka yaawa
2025-08-20 15:46:39
4
•𝐃•𝐀•𝐏•𝐇•𝐘'𝐒•🗽• :
Nani anasubiria Eti alee omena 6000 for mass gains🤔
2025-08-20 12:43:04
5
Riansavage :
siku mwenye anapima ataongeza mass ntaamini
2025-08-21 14:35:50
1
Lenaripish Masso :
Mimi kama Maasai sijui omena ni nani . pia sijawai muona ama kukutana na yeye.. Mimi nakula nyama, damu na maziwa for the rest of my life..
2025-08-20 17:16:34
1
MONDESTO :
hii Tuli lelewa nayo tukiwa wadogo, we used kupikiwa uji, Una forciwa kukunywa, uki shikwa mapua,😂😂😂. kumbe mathe alikua asha ona mbali
2025-08-20 18:33:20
4
Sir Michael's :
hiyo base na ijua huyo jamaa ni beste yangu nita msaka anipe hiyo kipimo 🤣🤣🤣
2025-08-20 13:13:31
5
calvinruttoh :
SOYA NOT GOOD FOR MEN
2025-08-21 09:11:37
1
Wagwan :
Kama wewe ni legend kwa gym ..unajua tu watu wanajificha kwa steroids wakisema wako natural ..guok
2025-08-20 18:43:30
3
️ :
mbona huyo msee anapima ..HajaaUngaa😭🥀
2025-08-20 10:48:58
2
Johfar_1 :
wacha niende hapo niulize huyo mtu huwa una buy nini hapo😂😂
2025-08-20 09:10:08
4
KITHY KOMBE :
Arms nazo zimekubali
2025-08-20 09:41:45
2
Odwuor Gordon :
Hivyo tu Omena inaenda kucheza Serie A. #Herewego wakumbushe zile shells hukuwa ndani pia ni minerals 😂😂😂
2025-08-20 12:52:50
3
BRAYO💰💰🔐🔐 :
waschana hawana nyash wanaulizia sana🤣🤣🤣
2025-08-20 16:54:04
1
In awesome ness :
Amepeana 8 na amesema ni 9.
2025-08-20 13:17:29
1
Lydia Ndekere :
my mum husaga huu mchanganyiko hakuna lipia hapa
2025-08-21 09:58:55
0
Maggy shii :
kwani huyu anauza huwa hatumii juu kamwili aaii
2025-08-21 08:37:14
0
To see more videos from user @kenyafitnessplug, please go to the Tikwm
homepage.