@laughs_on_leonardo: ILA UHALISIA 😂😂😂😂😂😂😂😂😂 @mihtradingtz Kwa mahitaji yote ya bidhaa za vipodozi, mafuta, lotion, cream, mafuta ya nywele na sabuni za aina zote kwa bei ya jumla, MSAMBAZAJI na WAKALA wa uhakika ni mmoja tu @mihtradingtz . Tunapatikana posta mtaa wa Aggrey na indhira gandhi karibu na jengo la Golden plaza kwa masonara mkabala na msikiti wa kitumbini. Wafanyabiashara wote karibuni @mihtradingtz kwa bidhaa bora za Vipodozi, Sabuni na Mafuta. Tupigie: 0776 786449 0757 786449 0715 786449 0735 786449 Cc: @_lu.ivan @andrew_tz01 🎥: @panthertz1 @sixndale Edits: @jaykiporo
Leonard Butindi
Region: TZ
Wednesday 20 August 2025 11:32:11 GMT
Music
Download
Comments
Hans_Khan :
kama unaamin Leonardo ndo king wa comedy kwa sas gonga like hapa🔥🔥🔥
2025-08-20 11:38:15
819
Aminah :
mbona kama waongo wawili wamekutana 😅😅
2025-08-20 11:57:12
564
wizzy j mo 10 :
kama unamkubali Leonard gongaa like hapa kwaheshimaa
2025-08-20 12:34:49
44
user4327511766936 :
haaa! huyu kaka amenenepa
2025-08-20 11:46:36
128
Jp🎸🎸 :
Kenge kaingia mkenge😂😂
2025-08-20 13:29:11
241
anniejowzy :
tunaosema jamaa ni noma tujuane😅😅😅
2025-08-20 12:17:48
69
George Titus Edmund :
MATAPELI wakikutana NCHI lazima IPASUKE😂
2025-08-20 13:51:04
17
wiseman_nick :
Huyu jamaa ameanza kunenepa bwna, nguo zinakaa sasahivi 😀
2025-08-21 05:55:44
87
FoxbreezY.... :
5/5 kujeni chap chap🔥🔥🔥🔥🔥
2025-08-20 18:48:47
2
STAR DE PHIZO28🍁🎶🎧 :
Ofa Ofa wale wa 10 video kujen nilipe 🤣✋🏾
2025-08-20 13:24:46
28
chachii❤️ :
MBONA MI MATAKO YANGU AYATIKISIKI 🤭
2025-08-20 16:53:40
11
Germain claude :
wale wa likes 100/100 twende zetu kazi
2025-08-20 12:13:13
20
officials Rahma ❤️ :
Wale wa 5/5
2025-08-20 14:18:51
4
Ney marco :
tulikiane video 10
2025-08-20 17:53:17
6
mc kirungu og2 :
ukimuona butindi jua kuna tangazo mbele😅
2025-08-20 12:37:48
31
Immanuel jr💀 :
Wale wa5 chap nalipa
2025-08-20 12:41:31
28
viper@ :
agaah😅
2025-08-20 11:38:17
7
Miss-Olive🌹 :
Mbona Unakula chakula cha mbwa 😅
2025-08-20 12:24:45
103
miss ney :
wakulike 5 video mkuje
2025-08-20 19:02:22
2
Abux :
hili ndo duka linalo maliza watanzania
2025-08-21 06:13:17
8
shop with Zuh 🇰🇪🇹🇿 :
sijawahi kucheka kama leo😂😂😂😂💔
2025-08-20 13:58:26
4
Ngadu Bøy :
Kwan ako kalimau ni kwaajil yann 😀😀
2025-08-20 12:21:13
16
@eliachim :
n sawa.
ila nimecheka saan🤣
2025-08-20 12:44:54
7
Mnanka Mhabe :
kwani hako karimao hua kanatumika kwajili ya nini
2025-08-20 17:01:10
20
ismã khåän tz :
ila Leonard Bhana 😂😂😂
2025-08-20 11:39:45
10
To see more videos from user @laughs_on_leonardo, please go to the Tikwm
homepage.
© 2021-2025 TikWM. All rights reserved.