@twaiba_classic:

twaiba_classic
twaiba_classic
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 20 August 2025 12:09:05 GMT
28345
1245
93
42

Music

Download

Comments

stellachristophe6
stellachristophe6 :
Twaiba walah unawatoto unasubra na upendo wa dhati walay mie lulu ningekuwa nishamuwamba kofi mna anafanya kusudi hasa. Ivyo anavyojibu.mwenyezi mungu akujaze iman mara dufu twaiba wangu
2025-08-20 15:26:41
1
tumasay
Tuma Say :
🤪🤪🤪 Saa tano saa sita hahahahahhaha wallahi luluuu
2025-08-20 13:56:53
1
judyj1
user8531410159442 :
fufu amlipe lulu sio kwa matangazo hayo kila siku lazima achomekee tangazo la chpx kwa fufu....😂😂
2025-08-21 20:07:54
0
user7058333001325
Shamila Bufu :
anajua kuzuga dada lulu
2025-08-20 13:01:35
1
naziramanji2
nazira :
nimeshuhudia kwa dada Twaiba mungu akupe afya njema Twaiba una.wangalia sana lulu na mama yake anacho Omba lulu anapewa mungu akupe baraka nyingi sana kwenye kazi zako
2025-08-20 13:04:58
9
lissah.mkuya
Lissah Mkuya :
Dada Lulu akiamua kwenda off script… Me nampenda buree❤️❤️❤️
2025-08-21 17:54:38
0
chinaboy_mombasa
CHINA-BOY :
DADA LULU ANTIE ♥️LOVE U SO MUCH FROM TANZANIA 🇹🇿 ANTIE LULU MY ALLAH WILL GIVE YOU REWARD IN JANNAT FIRDUOS U LOOKING POOR GIRL LULU. ALLAH BLESSED YOU ANTIE LULU JUMA MUBARAK FROM UR BROTHER SIDIK FROM LONDON 🇬🇧 UK WS. 👍👍👍👍👍👍❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2025-08-21 18:20:53
0
user12586807934215halima
user Halima mfikilwa :
huyu ndomana habingwa mabao na mm yake😂😂😂
2025-08-21 13:16:23
0
jenipha.shayo8
Jenipha Shayo :
😁😁😁😁 anajua kuzuga sana
2025-08-21 20:47:04
0
1234pure62
1234@pure :
😂😂et nitamuua uyuu
2025-08-20 19:19:32
0
rashidmagambo253
Rashid Magambo :
dada lulu muda wote anataka kuuwa tu
2025-08-21 07:29:03
0
fujo484
user2721018172403 zoba salum :
lulu hapendi kurudia neno 🤣🤣
2025-08-21 08:32:36
0
dinacarlos8
Dina Carlos 🍃❤️ :
ataka fufu chipsi😂😂😂😂
2025-08-21 19:03:56
0
user98178391038566
tedy simon :
kifup nakupenda
2025-08-20 21:12:40
0
sauda6644
sauda :
fufu itabidi awe akiungana na lulu kila endapo😀
2025-08-20 17:45:11
0
maya.raja3
Maya Raja :
dada twaiba lulu anafanya makusudi bismillh htk kusema kuimba hanaimba
2025-08-20 17:23:20
0
user920616176138
user920616176138 :
jamani mi nampenda lulu mwenzenu ikipita siku sijaona clip yake nahisi kuvurugwa
2025-08-20 17:45:41
0
jovee841
Jovee84 :
😂😂Lulu anawaza kwa fufu😂😂
2025-08-20 18:10:17
0
salma.flora8
salma flora :
😂😂😂😂😂😂 mi stk mpeleken kwa fufu
2025-08-20 12:59:52
0
user8007344534185
user8007344534185 :
namtaka ufufuuuu☺️☺️
2025-08-21 07:42:04
1
raykhms
zunaj :
nilichobIni kwa dada lulu asochokipenda huwa hajui kama neno bismilah a asalam alaykum huwa anazuga ila kuganda ansjuwa napawa apo anafahamu
2025-08-20 19:30:32
0
prettyd403
pretty d🌹 :
lishasikia njaaa😂😂😂😂
2025-08-20 20:02:00
0
happymasisi1
Happy Masisi :
kumbe Lulu anamakusudi
2025-08-20 21:39:57
0
_mamytham_
❤️🥰❤️ :
Jamn fufu kachkua akili zote za da lulu wetu😁😁 ila anatupoteza stress 💕💕
2025-08-20 14:35:16
3
beautifulmwanya
Beautiful mwanya 🥰🥰😆 :
😂😂😂😂mda wotee anawaza kulaa tuu
2025-08-21 06:00:56
0
To see more videos from user @twaiba_classic, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About