@dr.jessy09: Ni muhimu sana#pregnanttiktok #foryourpages #fyp #fypシ゚viral🖤tiktok

Dr Jessy
Dr Jessy
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 20 August 2025 15:39:50 GMT
51632
1522
86
205

Music

Download

Comments

nana_beauty_natural
Nana beauty parlour 💄 :
wawe wanazipinguza ukali jamn! watoto wanaumwa kabisaa
2025-08-20 16:51:15
3
mummiedon1
Ninah💞💞🦋Love :
wangu ana miez 3 hajapata bcg naomba maelekezo
2025-08-20 19:08:48
2
enicalambert
mrs evance :
wamama ili mtoto asivimbe baada ya kuchomwa mkamulie maziwa yako sehem alipochomwa sindano baada ya hapo muwekee balaf hatovimba kabis hi imenisaidia
2025-08-21 07:20:32
1
tamashakomba
tamashakomba :
wangu akichoma tu kuanzia jion ya siku hiyo ana harisha ovyoovyo hd siku 3-4 sijui nn shida
2025-08-20 17:47:04
0
mamafruitylove
Mama Fruitylove :
Jese tuambiwe tuwape nin wakichomwa sindano kupunguza hayo maumivu
2025-08-20 18:39:50
0
loveness9823
loveness :
Sasa mbona mm nilienda Leo tar 20 naambiwa kurud mwez unaofata unaenda anachoma Tena sindano nasaiv anamiez 3 kashamakiza chanjo zote za mapaja
2025-08-20 16:35:10
0
happynjau701
happynjau701 :
Dada kila nikingia tiktok nakutana na kitu kinacho niusu nilikuwa najiuliza kuusu hizi chanjo umenijibu dada God bless you
2025-08-21 09:34:16
8
aggy072
aggy072 :
Dkt Jessy... samahani degedege linasababishwa na nini? na hakuna chanjo yake
2025-08-21 05:00:43
0
user13185700524550
shakila shakila :
docta wakwangu sindano ya miez mitatu na nusu amechomwa sindano mbil badala ya tatu je kuna tatzo
2025-08-21 08:20:56
0
riney554
mary :
doctar minaomba nisaidie mwanangu hana chanjo hata moja na leo kakamilisha mwezi mmoja je,nimpelekeke kiliniki au nisubir tu akamilishe mwezi mmoja na wikimbili?
2025-09-29 15:06:49
0
angelagurti
Angela Gurti :
ety nauliza je BCG haijatengeneza Kale ka uvimbe ili itengeneze ile alama je unaruddia kuchomwa Baeda ya mda gani?
2025-10-11 08:45:49
0
naah1336
.. :
doctor samahan me nmejifungua tar22 mwezi wa 10 nauliza clinic ya kwanza inafaa kuanza baada ya mda gani
2025-11-11 07:42:08
0
safy3085
safy :
Kama mtoto hakuwahi kuchoma Sindano kwa ule mwezi wa 3,9 na ya mwaka na nusu Je naweza kumchomesha sasa?
2025-10-08 04:02:25
1
mariammbwana
MariamMbwana :
Kilio chake sio cha nchi hiii😭mmmh nimelia km ndo mm nagulia maumivu duuuh ase
2025-08-31 21:36:39
0
happynation.luand
Happynation Luanda :
tumemaliza ya tatu jumanne aisee mtoto alilia jmn kah
2025-08-30 18:05:07
0
marietha50
It`s marie🦋🦋 :
Thanks🥰
2026-02-04 06:34:06
1
swalhat628
Swalhat💃💃 :
he walezi tutakoma😢😢😢
2025-08-20 21:33:22
1
subbie99
Subbie gudgets💻💰 :
Ahsante madam
2025-08-20 15:53:10
0
love86954
ummuh triple'M"❤️ 🥰🥰🥰🥰 :
jamani watoto wanavyolia natamani kama wangezitengeneza kwa mfumo wa matone, watuliza wazazi unabembeleza adi na wewe unalia
2025-08-22 06:38:30
0
baby.mama6713
baby mama :
doctor menimejifunguwa premachuwa mtot wang alikaa chumba Cha joto alivyo tok hawakumchom iyo sindano nimekuja kumpelek akiwa na mwenzi inashida kwan
2025-08-26 06:55:18
0
sainaty6
sainaty :
wangu hakuwahi kuchoma ata moja Ana miaka 10 sasa je kuna shida kwa badae? ila yy hana shida saiv
2025-08-23 13:17:27
0
shaaly.majala
Shaaly Majala :
thyroid blood test kwa watoto ni lazima kufanya? na zinamsaada kwa mtt?
2025-10-18 18:26:28
0
megatronofficiall2
Megatron -officiall :
mbona me walimchoma mbili za mapaja yote mawili kwahy kuna nyingine zilitakiwa🥺
2025-10-15 18:38:45
0
mariammbwana
MariamMbwana :
Hakuna kulala ni mwendo na kubebelezana tu
2025-08-31 21:37:18
0
jeanneselemani8
jeanneselemani8 :
Hasanta sana dada
2025-08-20 15:57:17
0
To see more videos from user @dr.jessy09, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About