@nyotaraystv: WAZIRI wa Madini Anthony Mavunde amesema Mradi wa Nyazaga Gold Mining uliopo Wilaya ya Sengerema Mkoani Mwanza utakua na manufaa makubwa kipindi utakapoanza kufanya kazi ikiwa ni Pamoja na kutoa fursa za ajira kwa wakazi wa maeneo hayo na Watanzania kwa ujumla. Mavunde ameyasema hayo Augasti.20,2025 katika Kijiji cha Sotta Wilayani Sengerema Mkoani Mwanza katika hafla ya kusaini Mkataba wa nyongeza wa undelezaji wa Mgodi wa Dhahabu wa Nyazaga kati ya Serikali ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania na Kampuni ya Nyazaga Mining. #fyp

NYOTARAYS TV
NYOTARAYS TV
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 21 August 2025 07:30:12 GMT
4434
99
4
4

Music

Download

Comments

joshule06
JOSHULE :
Mbona sio kubwa
2025-08-21 16:51:45
0
dullar_store_mwan
Dullar_Store_Mwanza :
🔥🔥🔥 Boss kibwa🔥
2026-04-25 18:12:08
0
samwelgesasemwita
@sam14# :
😂
2025-10-03 17:34:21
0
mwafrika.halisi2
mwafrika halisi :
Tanzania ni nchi pendwa kwa mataifa mengi kutokana na uhodari na upendo tulionao hili ni taifa linalotumia lugha moja na watu wakaelewana Tanzania ni nchi pekee watu wa mikoa taofauti wanaweza kuishi pamoja kama ndugu wa damu hakika tunaipenda nchi yetu kesho tunaenda kukiwasha na Morocco hatuboi wala hatupoi kwa umoja wetu tukaishangilie team yetu . #AmaniKwanza #KuraYakoSautiYako @SISI NI TANZANIA @SSH @CHAN @TANZANIA @Quarterfinal
2025-08-21 13:06:04
0
To see more videos from user @nyotaraystv, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About