@dr.jessy09: Namna ya kuchanganya maziwa ya kopo#pregnanttiktok #foryourpages #fyp

Dr Jessy
Dr Jessy
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 21 August 2025 07:53:07 GMT
56759
1079
68
202

Music

Download

Comments

mamafruitylove
Mama Fruitylove :
Mbona hospital walikuwa wanatuambia kila baada ya masaa matatu kunyonyesha??
2025-08-21 08:02:03
7
nuruj20
NuruJ :
asant sana dr Jessy na je mtoto naruhusiwa kuchanganya ya kopo na ya mama yaan namaanisha asubuh adi saa nane nikiwa kazini atumie ya kopo then baada ya kutoka kazin naendelea kumnyonyesha kama kawaida au itapelekea shida kwa mtoto naomba ushauri tafadhali
2025-08-21 11:46:52
9
z.aisha5
Z.aisha5 :
miez 4 mgongo unaniuma sana sana dr
2025-10-03 16:52:37
1
wazirisangeni
wazirisangeni :
mtoto analia Sana usiku halali anataka anyonye usiku kucha je tufanyeje
2025-09-20 06:45:57
0
mamacyrus2
mamcyrus :
Asante sana.dr jessy yan najifunza meng toka nina mimba mpk saiv nmejigungua naendelea kupata somo ubarikiwe sana kpnz😊
2025-08-21 07:58:53
2
mslinu3
msLinu :
Asante
2025-08-22 23:44:23
0
chiiychiiy3
chiiychiiy :
vip kama anachanganya ya mama na ya formula
2025-08-21 10:56:13
2
24.25262728
24.25262728 :
Yan naomb kuuliza cjaelewa kitu mfano saa 8 mchna namp mara 3 ndan ya hilo lisaa? Kwa mtu mwenye week 4
2025-09-01 15:07:14
0
swtyfatma
MissTuma🥰 :
Hivi naweza kuchanganya maziwa ya kopo na yangu mama?
2025-09-04 05:50:16
0
lucklady22
Mama fifi🦋 :
Kwa mtoto wa miez Il
2026-03-21 23:58:10
0
shuu9565
Galbyh9565🦋 :
Docter ni muda gani pre mature wanaweza kutumia maziwa ya kopo? Na ni aina gani ya maziwa docter?
2025-08-28 09:22:33
0
jojo041
jojo :
Kwann unasema milimita? Nadhani ni mililita. 😄🙏🏿
2025-08-23 17:08:23
0
caroline.godfrey4
Caroline Godfrey malya :
kwani hakinyonya ya mama na tukamchanganyiya ya kopo Kuna shida kwani
2025-08-27 19:57:06
0
engymaeda
engymaeda :
me sikaelewa
2025-08-21 08:50:56
0
menery770
menerry flowery770 :
dokta mtoto wangu ana mwez na nusu ni mpe maziwa ya kopo ya aina gani please njib mamy
2025-09-30 12:04:12
0
rilahstore
Rilahstore :
wangu miezi miwili anatumia mils 120
2025-08-27 20:19:28
0
carol..tajiri
blessed caroline :
kama mama hana maziwa unaeza mpa maziwa ya ngombe ama ya dukani mtoto wa 2month
2025-08-23 10:54:42
0
maharook_family1
CuteAshii_Rah🥰 :
Ila mbona maelezo ya kwenye kopo yapo tofautiii maana mm nilikuwa nafata maelezo ya kwenye kopo je nisawaa ???
2025-08-21 09:57:48
6
sainaty6
sainaty :
nashkuru sana Dr mana nilitafuta maelezo haya mpka YouTube lkn ckupata
2025-08-21 09:29:14
1
best_cosmeticstz
best_cosmeticstz :
Dr Samahan mtoto wa miezi 6 anaeanza kula, anakula chakula mara ngap kwa siku?
2025-08-21 10:13:36
0
theresiaemmanuel6
theresiaemmanuel6 :
wangu anamiezi 3 nikimpa mara moja hamalizi je niyamwage halaniandae mengine?
2025-08-24 15:03:43
0
mama_wawili092
mama wawili🥰❤92 :
je wa mwezi wakiwa mapacha?
2025-10-14 16:22:40
0
leah.sitta
nkwaya sitta :
Doctor mtot wangu wiki mbil namchanganyia maziwa ya kopo na yamama ila anajisaidia choo kigumu naweka mlmetr 90 vijiko 3
2026-01-21 22:48:36
0
user68026292988
Erieti :
ivi unachanganya na maji moto au baridi
2026-06-23 09:13:49
0
ummuhajrat07
Ummu Hajrah heena :
wangu anacheua sana jamn yan anasumbua sana najitahidi kumbeulisha lakini wapi nifanyaje wapendwa
2026-04-21 12:09:05
0
To see more videos from user @dr.jessy09, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About