@jonstarofficial: Mkongwe wa Muziki wa Dansi Tanzania na Afrika mashariki, Muumini Mwinjuma ametusanua jambo, Kumbe yeye na Alichoki hawakuwa na uadui walikuwa washkaji sana. #MuuminiMwinjuma #AliChoki #Tunda #Mjuezaidi
Enzi zetu hizo. Ukiona mtu amelewa unamuona kama mkosaji sana. Sasahivi yule mlevi ndio wewe sasa. Can you imagine? 😅😅😅 Pombe siachi mpaka viwanda vifungwe.
2025-08-21 18:00:42
2
* Man Yuser :
Nmeona picha ya pamoja BANZA STONE , KHADIJA KIMOBITEL ,ALLY CHOCK , MWIMJUMA MUMINI😊😊😊
2025-08-28 21:22:56
2
williampetermadir :
kulikuwa na wimbo wa zawadi yawatanzania ivi unapatikana lkni
2025-08-26 17:26:01
2
moonlight_255_ :
yaan huu wimbo nimekua ndo naishia hayo maisha
2025-08-21 13:45:38
1
Amady bakari :
kabisa ana mwili mzuri
2025-09-18 19:17:31
0
nassir :
hahahahahhahhah😂😂😂🤣🤣🤣
2025-08-21 11:20:14
0
Mchwampaka 1420 :
video ya hii nyimbo ntaipata wapi jamani msaada
2025-08-27 16:57:47
1
Icky's kitchen 🇹🇿 :
duh mwaka 95 nina miaka 10 😂
2025-08-25 20:46:25
0
Zuwena- outfits -collection :
daaah enz hizooo
2025-08-23 10:50:16
0
ummyleyla :
kwani yupo huyu baba
2025-08-29 06:17:34
0
aziza :
sana anakamwili kazuli
2025-08-26 15:32:31
0
DZ :
ETI 89
2025-08-24 03:42:48
0
SAID AUSI :
Huu ndo wimbo wangu pendwa wa miaka yoteeeeeeeeee
2026-09-15 21:40:12
1
pounce :
sasa wote zilipendwa wanachukiana nini
2025-08-21 19:09:02
0
To see more videos from user @jonstarofficial, please go to the Tikwm
homepage.