@pastorleahndabila: SI VIZURI KUPOST TUMBO LA MIMBA... KWA USHAURI/MAOMBI KUHUSU MAHUSIANO,NDOA NA MAMBO YOTE YA KIROHO WASILIANA NA PASTOR LEAH - PIA KARIBU KANISANI HOUSE OF HOPE- MADALE KWA IBADA ZILIZOJAWA NGUVU ZA ROHO MTAKAKATIFU. #pastorleah

Pastor Leah Ndabila
Pastor Leah Ndabila
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 21 August 2025 08:20:40 GMT
45011
2250
301
344

Music

Download

Comments

naty64047
nathachou :
Aliye na sikiyo alishike na asikiye vizuri.
2025-08-21 09:19:11
61
nufayla.kheri
Latifa thabiti :
Mungu yupo upande wao wanapost na wanazaa salama kuna sie tukiwa na mimba ata kutembe atutembei lkn Watoto tunao zaa watoto wanakufa
2025-08-21 09:47:16
6
daestraemiry
Gold coast :
kwel kabisa
2025-08-21 16:04:47
0
jena.wa.rona
Mama miracle :
Asante Mama mungu akubaliki
2025-08-21 12:26:58
11
gracejosef1
Grace :
may God bless u🙏
2025-08-21 15:56:02
0
rebeccamboya1
Rerambo :
dah mitandao imetuharibu mama yaani sasahv watu tunajidhalilisha jamani,ahsante kwakusema mama
2025-08-21 12:24:30
3
sweet.yenny
sweet yenny 🥰🥰 :
Amina mama umesema kwel kabisaa zidi kutumiwa na mungu
2025-08-21 13:47:25
3
user3655453874821
Special Girl :
Ahsante saaan kwa ujumbe mzito,nahisi wengi watapona kupitia hii video🙏🙏
2025-08-21 15:57:32
2
janethjohn462
Janeth John :
asante mama mahan wamezidi
2025-08-21 16:10:05
0
yaahibrah
yaah ibrah💫🌹 :
wambie awo na akuna mgumba ndani umu
2025-08-21 16:04:20
0
clarisse.itulamya
Clarisse ITULAMYA :
unasema kweli mama
2025-08-21 15:54:52
0
rougeblanc28
🫀🫀 :
sema maman tulisha ishiwa sana
2025-08-21 15:56:24
0
mdota.mdota.selin
Mdota Mdota Selin :
Amina mama mungu akubariki
2025-08-21 15:50:12
0
user92205944172393
Any cibembe :
ni kweli ile maman
2025-08-21 15:50:44
0
user7381661970405
NIFUNZE :
ubarikiwe mama
2025-08-21 16:10:17
0
anitha15497
anitha :
nikweli kabis mama
2025-08-21 16:01:35
0
ddd397451
D¹D¹D⁰ :
🙏🙏kweli kabisa
2025-08-21 16:01:46
0
hidayampiluka3
Hidaya mpiluka :
asante kabisa wanahisi ni utandawazi waitandao waache tabia za kishetani.
2025-08-21 15:59:41
0
officialwagidy255
Mrs Gideon💍🥰🙏🙏 :
kweli kabisa,heri mamii umeongelea hili swala jmn maana wanawake wwnzetu mahali wanaelekea sio pazuri,umesaidia pakubwa sana🙏🙏🙏🥰🥰🥰
2025-08-21 15:17:22
2
emmanuelmwagilo10
Emmanuel Mwagilo :
mama ubarikiwe iyo injili kuipata kwa sas niadimu🙏
2025-08-21 10:23:42
21
marckdiland
RUBEN :
mamaa kwaiyo mtu ametendewa na mungu amepata ujausito asiposrt na pengine miaka kaa kumi.mamaa inaruhusiwa juu ni ushuhuda sawa
2025-08-21 15:45:22
0
user8338761421927
user8338761421927 :
ukweli kabisa
2025-08-21 15:55:40
0
user33257047961461
beshty💛💜 :
kwakweli mamaaaaa umenena imekuwa kama fashion saivi
2025-08-21 15:15:16
3
user6698175153088
shillah mamake :
nakubali 🙏🙏🙏🙏
2025-08-21 15:42:43
0
user2673168171115
NDO UYO MIMI :
Asante sama Mami wangu,nilikuwa nafikiriaga sana hao mambulula ya mimba
2025-08-21 15:37:04
0
To see more videos from user @pastorleahndabila, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About