@brandnewblessings: tujipikilishe tembele❤️#EasyRecipe #tembele #tanzaniantiktok🇹🇿 #fyp #viralvideos

@brandnewblessings
@brandnewblessings
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 21 August 2025 08:58:27 GMT
524050
10761
217
724

Music

Download

Comments

iammkwinda8121
Mkwinda Aisha :
sa temebele unaeka maji 😳😳
2025-08-21 10:35:00
22
hotmom607
Hotmom :
Mafuta tena nazi 😂
2025-08-21 14:57:39
2
siahbenezeth
siahbenezeth :
uloweka nyeupe hiyo nini mpenz nahutaji kufahamu plz
2025-08-21 16:00:30
0
emmy4396
Emmy :
Mate sasa yanavyonitoka😋
2025-08-21 17:17:16
7
witiemgonto
witie🤩 :
hoho tena mama🙄
2025-08-21 18:47:28
2
zenath.manda
Zenath Manda :
Alf ungejua niivyo na njaa,wewe unaposti kitu kitamu hivyoo,Mungu anakuona😂
2025-08-21 09:08:59
17
princesseafrash
❤️‍🔥🦋Mrs H ❤️‍🔥 Halal🦋 :
Tembele na Karanga nyie 😋😋😋😋 na hako kalimao ulichotia 😋🥰 huyo mbwa akikuacha awe na sababu 😂
2025-08-23 20:50:23
0
user7282527404885
chief Rumanyika :
iyo ngoma inaitwaje
2025-09-18 00:04:56
0
user8562333142851
user8562333142851 :
tembele na maji tena du hyo kali na tui la nazi
2025-08-23 05:40:04
0
fides069
Fides💜💜 :
umesahau kalimau
2025-08-21 10:15:11
1
neymacollection7
Neyma collection :
nshapata kitu cha kupika jioni
2025-08-21 09:50:11
69
attu.abdon
attu abdon :
Ako keupe mwishon ni kanazi shogaangu
2025-08-21 13:34:21
0
zainamcharo4
cute 💦zaina ❤️❣️ :
daa una makusudi ndugu yangu sijui uliajua sijala mchana huu😳🤣
2025-08-22 12:55:48
0
mahega.mahega
Mahega Mahega :
Jmn tam San hiyo
2025-08-21 16:52:58
0
ligh655
ligh655 :
Hy ni nyanyachungu au
2025-08-21 14:40:03
0
sadawasuzy
Sada wasuzzy💜💙 :
nimemiss matrmbele ya kwetu haya ya dar siyaelewi kabisa🥺
2025-08-21 11:38:51
7
brighton.frank
oficial jojo🇹🇿 :
Nakuja kula
2025-08-21 23:34:46
2
hukt90
mom yaah :
kina nukia mpaka huku 🤤🤤
2025-08-22 09:36:50
0
berthermartine
mama edu :
limao haliwekwi?
2025-08-22 07:06:32
0
notibelgavedastob
Notibelga vedasto bayona :
ukiwemo na ww au😂
2025-08-30 11:59:03
0
catherine.rogers64
Catherine Rogers :
hayo ya mwisho ni maziwa au nazi😳
2025-08-23 09:14:47
2
user6917528114428
tinnah ❤️ :
unajua mpk unajua tena kipenz ila punguza mafuta km unaweka nazi
2025-08-21 16:16:37
0
the.qute.skammy
SYRAM Babe 💚 :
apo kwenye maziwa nd umeharibuuu yaaaaan
2025-08-28 11:27:37
0
judithnyoni2
judithnyoni2 :
😂😂😂nimemisi sana tz
2025-08-21 15:28:09
0
_elina_ccy
Elina kimaro :
ilaaa waalimu wa TikTok ni wengi jmn..si Kila mtu na upishi wake.kwani aliesema mchele mmoja mapishi TOFAUTI hamkumuelewa.......kazi kupopoa vya watu ...😏
2025-09-03 17:13:49
0
To see more videos from user @brandnewblessings, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About