Siku nikifa mtakao shiriki mazishi yangu msisahau kupiga hii nyimbo 🥹🥹🥹🥹
2025-09-05 09:05:05
7
hepy :
Jamani tumrudie Mungu aturehem Moto wa jehenamu unaumiza kuriko tujuavo Moto upo wapendwa tumrudie Mungu Anae som hii koment Mungu ampe mwisho mwema nawapend
2025-08-26 14:37:28
8
Mwangomo Ed :
nyimbo nzuri Nan ameimba
2025-08-22 12:26:33
58
Mp Canal💧💥 :
wale wa like video 3
2025-09-03 19:26:56
7
bin rashid 1123 :
jina la songs
2025-08-22 19:30:23
18
Anifa :
we dada mungu utamwambia nn kutwa unavaa vimini na vikuku miguuni na izo shanga kiunoni na puani kuna kipini eleni tano sikion mungu utamwambi nn 😭
2025-08-23 12:01:11
8
kizzy dinho / master :
jina la song jamn
2025-08-27 12:17:51
13
~allan~mechanics :
izo lyrics unatengenezaje
2025-09-01 19:26:52
15
lucy lucas,@ :
Mimi nilikuwa naimba ashumu umepika samaki alafu kwa sauti kubwa
2025-09-06 11:06:55
8
6phano+255 :
nyimbo hiii kwani inaitwaje
2025-08-23 16:51:47
12
676959 :
hii nyimb inaitwaj na kaimb nan jmn kila nikitafut ciipati
2025-08-30 10:49:18
14
ebby@12 :
hii kali sana🥰
2025-08-22 08:52:12
11
Noah TESLA :
kawimb dada ang niambie
2025-08-29 09:59:08
5
drop the world :
wanaume hatuna dhambi mlijue hilo tunayo pitia duniani ndyo adhabu yenyewe kama hamjui
2025-08-22 21:26:10
8
Rahel Brayan :
huyu last born wa taifa❤️
2025-08-23 08:59:56
6
HassaniKusaga💫✨ :
follow me
2025-08-22 08:58:21
5
Frank magari🚘 :
Me nilikua naimba ashumu umepika samaki
2025-10-18 07:28:58
4
MR MHEZA .TZ.COM :
msanii nani
2025-09-09 19:42:26
1
To see more videos from user @arno_lyrics, please go to the Tikwm
homepage.