Leo ongea sana.. ikiwezekana usiku kucha.. tuko hapa kupata hasira ili kesho asubuhi na mapema mtu km mm na wengine wengi tuanze kuchukua hatua kuwakabili wahuni kinoma noma..
2025-08-21 16:33:43
16
S A N J I T O :
wamemteka nn😥😥😥
2025-08-21 19:27:14
0
Mr XLVII :
itakuwa anaongea na mama kwa simu ndiyo maana hajapanda hewani bado.
2025-08-21 17:13:31
3
Maryam 🦋🦋 :
Labda ni saa nane 🤔🤔
2025-08-21 17:48:07
2
daniely-mapinda :
mwanetu katucholesha kalale mbele na wahuni
2025-08-21 19:45:19
0
peters795 :
tunasubili baba...nimeweka bando la kutosha 😁😁😁
2025-08-21 17:09:43
1
pillyhome store :
Dah adi saiii nko online nakusurii tuna kesha au nlazee fuvuu🥲🥲
2025-08-21 21:17:22
0
Mr_Kilti :
Nchi inasimama na Dhamira yako. Tunashukuru unatufungua macho.
2025-08-21 22:19:07
0
Kanali Stevie :
mzee tupoo tunakusubirii weweee💪💪
2025-08-21 18:31:44
0
Karim :
kimewaka huko 😂😂😂😂
2025-08-21 18:49:36
0
To see more videos from user @hpolepole, please go to the Tikwm
homepage.