@domokayatz: "Dingi " Domokaya Fellow live performance 🔥🔥

domokayatz
domokayatz
Open In TikTok:
Region: TZ
Thursday 21 August 2025 18:42:21 GMT
83549
5587
173
230

Music

Download

Comments

kivuduha
king Kivu :
dingi sio vizur hivo tazama verse nacheza unaleta kiu ya fedha naulishadekeza why enzi hizo kipindi muheshimiwa serikalini katibu wizara ya fedha miguu haitoki mezani ofisini kufanya kazi zaidi ya 20 za wafanya biashara kwa ujumla wakiomba msamaha Kodi shika hii Moja Nusu unauchuna siku understand mtoto wajirani kukomaa sura wengine wamekonda mfano "*:::::'" ningekua vipi sugu nunda na sikuzifahamu tabu ni aibu kumfikilia mke wapili na kumfukuza Babu pale tulipokueleza ukatujia moto juu watoto mkome *:::::* silikapita lidandasi Raisi kumvunja Baraza aibu kutufahamisha mbaka habar ilipotangazwa siku hyo tustushwa kdg madha afe kwa presha alitambua mapema kitakachompata mkataa fedha ukawa mtu wakujificha uliandamwa navikwazo ukawa mtu kilabu vilevi kupoteza mawazo pombeee *":::::"* na mimtunga tungo hautosaza usipo sali chini ya jua Kali wengine hawafahamu utamu wa ugali siikafika kipindi hatubaki na Senti mfukoni ukipiga hesab baba hajarud unajificha choon ukaanza kua na makuzi sikusikii hzi kejeli sina cha kuwatell ukawa mfukuzia mahausgirl kwakua walikua wadogo kiumri uliwanganya kiurahisi na kutimiza Yale yote aliyokutuma wako ibilisi tukaona usiwe tabu tulipofaham hayo unatenda akaletwa mtu mzima kutukomoa nae ukamtia mimba ikawa uchungu mzima ndg kukujadili vikali tukikumalizia msosi sufuria unazitia msumar akiwadhulumu hofu tumbo joto home akai baada ya dakika chache odi odi za wanaomdai sina Imani nae nachukulia tu father mkatili kwa sasa anatoa kudoz anatutazama sehem zasir haitosaidia kuinama chini majini yake yanavyomtuma huyu Mzee ashibi yeye anachoka tu kutafuna alishatutia aibu mbele ya marafiki zake mother huyu kalost kaja seblen na taulo ndani Hana hata kost ile kumvumilia sindio radhi akamwaga kama alivyozaliwa wageni ilibidi kuaga ingawa yalikua malipizi mama akafanya mgomo brd nashangaa vipi una kacha au home matatizo yamedhid nguzi inaangamika pumzi zangu hazitoi jema sikua naakili nikiwa kijana mdogo sio mtu mzima mama Hana kazi familia itaendeshwa vp ndipo nilipoanza kukaba walevi Kona ya msikiti kaptula nshauza sana kumsave mother mzaz tulipomfikisha hospitalini usiku alipougua maradhi upepo ulivuma kichizi siku hyo kabla ya kunyesha mvua 😁
2025-08-22 10:21:04
60
vinnymoouw1
Yoro Leni :
hii body imekaa kimazoezi saaana big up legend
2025-10-03 07:46:23
4
yassirsimba15
Yassirsimba15 :
Kuna watu wanaimba Dunia Hii🙌🙌🙌
2025-08-22 09:12:30
18
issamachelenga1
Issa :
unapozingua bro hutaki tuzidanlodi kazi zako tuzitangaze kwenye status zetu ili upate fans zaidi waje kukufolo na kuzifuata kazi zako YouTube sasa utafikaje kwenye level yako au unaridhika hapo ulipo kaka kila siku nakuambia allow watu wawezeku download video zako
2025-08-24 02:18:48
8
falidhi.mafioso
falidhi mafioso :
kunamda ukisikiliza vizuri unamsikia bro mandojo voco yake kwa mbali #rest easy bro mandojo
2025-08-22 05:54:15
15
newman92
TATA BM🦅🇹🇿(NYEBHOSA) :
Kaka umejitunzaa
2025-08-25 22:24:23
9
ronaftal17
ronaftalion :
Domokaya ananikumbusha mbali sana mchizi wangu dooohh🙌🙌 hii track balaa tupu.
2025-08-22 09:57:25
7
itz.joe83
itz joe 😎 :
Daaah Nakubal kaka respect 🫡
2025-10-11 21:48:59
1
bambii_tz
Bambii🥶 :
fav yangu ya miaka yoteeeeee❤💪💪
2025-11-23 14:14:59
1
user1117346998884
TRIPPLE7 :
R.I.P MY BROTHER
2025-08-22 08:49:39
0
faomar.jr2
Faomar jr :
kamkamulie maji ya machungwa na kiu koma😅😅
2025-08-24 21:02:56
2
shagari180
BYCASHTZ :
hongera brother ni noma kabisa hii hatari💯
2025-08-22 07:57:53
7
vk180881
victor :
Pini lenye verse mmoja 🔥🔥🔥
2025-08-21 19:45:18
6
micharazo07
FÂMØÜS🤴 :
hawa wanamuziki gen z waige hivi kama hawatakunya😂#legend🔥🔥🔥🔥
2025-08-21 18:56:59
6
frankjulious
FRANK :
Brother wewe unajua sana mziki
2025-08-22 17:50:01
5
mudhihili.mkenda
MKENDA98 :
kayaaaa a man talented,mungu akuweke mzee
2025-08-24 18:53:33
2
toneskills
Tone skills :
Umetisha sana
2025-08-21 18:55:17
5
baraka.busima
Baraka Busima :
Hiki kizazi kilikuwa hatari kwa mashairi usiposikiliza vizuri unaweza kuishia kuburudika tuu .
2025-08-23 13:08:12
3
unbothered_asf24
𝐑𝐚𝐫𝐞🇹🇿 :
bhn naipenda hii nyimbo
2025-08-22 15:28:02
3
sambaaboy4
B talent...sambaa boy 26 :
vitamin music sasa ndio huu 👏👏💖
2025-08-22 08:04:37
4
lolozxgb
LAIFALAI :
bless bro
2025-08-22 08:13:04
4
kenzo.dalali.kino
Kenzo_dalali_kinondoni :
repect legend..
2025-09-14 18:30:39
1
tx_subaru.ya.myam
SPORTY BOY🎮 :
song langu la mda wote dingi☺️
2025-08-27 14:37:40
1
eliaschacha57
Joooseh :
Wimbo wenye stanza moja tu lakin makini sana daaaaaah😭😭😭
2025-08-26 14:48:26
1
materegodreamson
Dreamson_ :
@king Kivu:dingi sio vizur hivo tazama verse nacheza unaleta kiu ya fedha naulishadekeza why enzi hizo kipindi muheshimiwa serikalini katibu wizara ya
2025-08-30 21:27:20
1
To see more videos from user @domokayatz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About