kuna matapeli sasa hivi ndy wanajimilikisha rasli mali za nchi
2025-08-24 22:54:44
4
khatibubendera2 :
Hata Crip zake hamzioni?😭😭😭🙏🙏🙏
2025-08-30 08:42:22
3
France_kid💎🏀 :
no reform no election
2025-08-30 11:26:27
2
Roswe Caleb Samburu :
uliuwawa kweli Mzee. na hao watakufa tu
2025-08-31 04:19:48
2
emilybonifasi :
alipenda haki
2025-10-24 16:06:47
1
Pizzo one :
mungu huyu ndo alikuwa rais wa kazi kazi 😭😭😭😭
2025-08-23 14:41:07
9
dalas :
October 2natik 👍👍👍
2025-08-23 10:41:22
1
Mohammed Abass :
mungu akulinde akupe pepo amina
2025-10-13 20:03:57
1
tibihikagerad :
Mim kiukwer sitaki kuingilia mipango ya Mwenyezi mungu lakin waga namuona Magu yupo pepeni Kuna jamaa nawaonaga wanaongelea pepo japo kama story wanasema pepo kama wimbo wa taifa kama kwer mwenyez mungu anagawa pepo kwa kufanya mema huwez kumkosa magu peponi kwa hiyo kwa wale wanao hubir pepo kama story magu alikuwa mfano wa kupigwa na kwa wale mnao hubiri pepo mkiwa na maana ya pepo jiandae kumkuta magu peponi
2025-08-22 17:38:35
6
Henrie :
Man of facts ever, Uzalendo wako ulikuwa wa kweli na thabiti
2025-08-22 13:36:01
5
Caroline Johnson :
yaani baba saiv kila mtu anakaa kimya tunaogopa kufa baba tuombee kw Mungu
2025-08-22 12:00:28
5
king ev :
sasa hivi nahisi kuna slmia o, mahind yote ungee yafu ku zwa
2025-08-22 11:11:53
1
EastOne fan page :
Raisi wangu nakupenda sana
2025-08-22 12:43:15
3
ULAMAA.. :
Tanzanite maana yake ni kiza cha Tanzania sasa acha iwe hivyo waibe tuu
2025-08-22 14:46:10
2
SS.SAMBO :
nikae kimya kwanny kwa sababu ya maisha nafuu nizikwe lakin niseme ukweli watanzania waujuwe watanzani mzee wame kusaliti kwa baiskeli tu baba
2025-08-25 11:36:32
2
255 🔧🔧🔧🔩🔩🔩 :
kuna mtu alikua tayar afe kwA ajiri ya nchi lakin hao wanapambaniwa sasa
2025-08-31 09:11:22
1
msafirimwambela :
kwani hapa magufuli arikuwa anaongea uwongo au ni upumbavu wetu tuuu
2025-08-22 11:40:34
4
wamdebe :
yaani hadi hasira
2025-08-22 12:30:44
3
darueshi abdully :
siasa sio kila muda ni mchezo mchafu muda mainline ni mchezo msafi ila Kuna watch wanaifanya I've inaonekana siasa ionekane ni mchezo mchafu
2025-08-24 20:51:14
1
KEVO..mnyama :
wasema kwel wanauwawa free Tundu lisu
2025-08-22 22:22:31
3
Gilberto@Tz :
🔥🔥 Mungu akulinde uko ulipo
2025-08-22 16:02:48
2
pallan💫💫 :
daaah Mungu akuweke salama mzee wetu
2025-08-22 13:09:02
1
ahmirmalik3 :
kweli tutapata rais shupavu kama huyu ewe mungu
2025-08-22 14:48:17
1
To see more videos from user @nturamaster, please go to the Tikwm
homepage.