@fathysaidi: Replying to @grcezihindulagrc TUMIA KWA KUKURUDISHIA MVUTO WA KAZI BIASHARA PESA MAPENZI NI MAISHA YAKO KWA UJUMLA WEKA KARAFU 7 KWENYE MAFUTA YAKO YA KUJIPAKA NA ZINGINE SABA UTAZIONGA ASUBUI BA JIONI, #fathysaidi #cloves #mvuto#bahati #foryou
KARAFU 7 UNAWEKA KWENYE MAFUTA YAKO YAKUJIPAKA PLEASE
2025-08-22 21:48:20
87
Letisha Chebii :
Wenye amuelewi mafuta yakuoga kama mimi gonga like tukisonga...
2025-08-22 19:04:34
38
grace tz :
unaisaga au unatia hvo hvo kwenye mafuta
2025-08-22 11:51:48
7
mylahdidah :
haya mimi nimechanganyikiwa mafuta ya kuoga tena?
2025-08-22 18:15:29
6
Ashifah Demtullah :
shida ni mafuta ya kuoga wakati sisi wengine tunatumia sabuni
2025-08-22 17:58:08
6
Destinée :
dada karafu njo nini
2025-08-23 04:27:03
3
user9959609795668fote :
mafuta ya kuoga nielekeze vzur
2025-08-22 13:01:30
0
madinamwaka :
nataka yakufukuza wageni kwa tajiri yngu
2025-08-24 11:52:06
1
𝐏𝐫𝐢𝐧𝐜𝐞𝐬𝐬 :
𝐮𝐧𝐚𝐰𝐞𝐤𝐚 𝐧𝐳𝐢𝐦𝐚 𝐝𝐚𝐝𝐚 𝐛𝐢𝐥𝐚 𝐤𝐮𝐭𝐰𝐚𝐧𝐠𝐚 𝐬𝐚𝐦𝐚𝐡𝐚𝐧𝐢 𝐥𝐚𝐤𝐢𝐧
2025-08-22 12:58:30
3
King of hearts 💖 🏳️🌈🤤 :
sasa watu wengine hawatumii maji ya kushota kwenye bomba kuogea watafanyaje
2025-08-24 00:08:28
0
mwari wa gachie 🔥 :
karafu nini watu wangu
2025-08-22 15:23:48
0
Varl❣️Errick💕 :
I can't save plz mtu alike ndio ntakumbukia plz
2025-08-24 08:35:55
6
Richard Konde :
mafita ya kuoga ni gani hayo tafadhali fafanua
2025-08-22 16:06:31
0
Zuhura julias Zuhura :
mungu akupe maisha marefu Yani dada yaku mbinguni unakiti chako au mi nitangulie unikute mi ndio nitakua kiti chako🥰🥰🥰🥰🥰🥰l love you too so much ❤️❤️❤️❤️❤️❤️nakupenda sana unaroho nzuri nandio maana unazidi kuwa merembo 💋
2025-08-22 17:36:48
2
Gulaam Habib Byekwaso :
Am in darkness
2025-08-22 21:09:38
2
Steeven bicko :
Karafu aina jina mengine
2025-08-22 10:17:15
0
Abigail🍒 :
unazisaga
2025-08-25 14:20:18
0
Mummytho classic 001 :
unaoga siku ngapi
2025-08-25 16:16:24
1
rechal :
mafuta ya kuoga ndio nn
2025-08-24 16:44:37
0
fiston mwinwa moise :
dada ile carafu inakuwaka nini mukiswahili?
2025-08-23 15:41:41
0
Zaynery :
kwenye mafuta pia c unatwanga au
2025-08-25 10:53:13
0
Olimpya Mushi :
jamn ameandika sms hapo juu kabisa mafut ya ya kujipaka
2025-08-23 07:24:23
1
user2455514906761 :
mm sijaelewa naitwangwa inakua unga au
2025-08-25 16:19:32
0
🤍💙 sophi🤍💙 :
Tusopaka mafuta sasa 😢🤭
2025-08-23 07:08:01
0
amina nathan 761 :
dada Asante nilifanya kitungu tale 22 adi Leo tale 24 amekuja kama mzimu ubalikiwe dada
2025-08-24 08:25:01
0
To see more videos from user @fathysaidi, please go to the Tikwm
homepage.