@doctorskimbunga: KIBOKO YA MAPENZI

doctors kimbunga
doctors kimbunga
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 22 August 2025 14:33:54 GMT
60866
2103
186
411

Music

Download

Comments

zainabkeya8
~Zae٪~ :
nilimfanyia mtu hiyo hata siku haijaisha kanitafuta mwenyewe 😂😅😃
2025-08-23 05:44:25
28
boy28854
Notification :
Mie hata unichomee shamba Zima hela yangu haitoki
2025-08-23 13:56:56
7
malkia255
malkia💕 :
niteseke kutafuta hela,nimtesekee na mtoto wa mtu,huo ujinga sifanyi🤣🤣🤣🤣
2025-08-24 00:12:42
0
nanatz58
nana tz43 :
kwanza huu unapatika wapi tuanzie apo kunamtuu ananipanda kichwani 😏
2025-08-23 19:07:59
0
fettymgaya
Fetty mgaya :
Cfanyi huo ujinga kama hanitaki na aende tu yanini nilazimishe kitu😂
2025-08-23 08:43:03
78
dulley_10
Dulley :
Shida mnatuloga na majina ya Mitandaoni dawa hazitufikii😂😂
2025-08-23 11:16:37
13
mdugi25
Renycute🌹 :
nikichoma nasemaje ngoja nikanunue kwanza😅
2025-08-23 12:40:22
1
wassanircute
wassanir cute💜 :
Kilinge kiko wap afu mm nataka dawa ya mchepuko wake aachane nae 👌👌
2025-08-23 11:00:50
0
rahelialfred
rachel lee :
ndo awe bwan ako uyu utajut kila mda unarogwa🤣🤣
2025-08-24 00:13:04
0
fetty199226
Fatuma Ibrahimu :
Sasa kaka zetu watajigawaje maana kuitwa na watu wengi nayo 😅
2025-08-23 13:13:44
4
kulmoadqt
kulmoadqt❤️🔐 :
samahan ebu uonyeshee vizur niuone nina kazi nao😂😂😂
2025-08-23 09:44:25
6
user2262639618174
🦋 little🌺 odo🦋 Gian 💞 :
Ila nawashaur kuloga si njia nzur ☺️tupatane watu Zaid ya 5 tulikes na kufollow kukuza akaunt zet
2025-08-23 12:44:32
0
pamellatanzania
PAM COLLECTION :
upo wapi shehe
2025-08-23 08:39:21
2
zuuhismail173
Zuuh baby dram❤️ :
Mjombaa
2025-08-23 10:07:33
0
xashakombo
xashakombo :
We kaka utatuponza😂😂
2025-08-22 20:31:42
2
happymwakilembe8g
[email protected] :
mtatuuwa
2025-08-23 08:42:45
0
wardaissa399
wardaissa399 :
Dawa ya mtt kutembea haraka jmn
2025-08-23 18:47:47
0
mbonde932
mbonde 003 code :
ndugu yangu unatuchoma maana ss wengine vibuli😂
2025-08-22 21:04:54
10
musty_diego
Baba imran :
kwani hao walioroga na wakachwa hakutumia huu
2025-08-23 13:47:19
1
shamy2788
shamy🧕 :
ww kaka ww malengo yetu wa uku uarabuni yatakuwa hayatimii acheni uchawi bas🤣🤣🤣
2025-08-23 09:26:12
2
user5108207226195
user5108207226195 :
unapatikana wap
2025-08-22 18:59:45
1
bahatifrancis2
bahatifrancis2 :
Hii akiiona mpenzi wangu nimeisha maana anasema au mpaka nikuloge
2025-08-22 18:57:11
0
brother_tolu
Brother TOLLU 🍁🇨🇦 :
ngoj nika mlipue mtu 🤣
2025-08-23 17:51:46
1
theeeonlyyy__
theeeonlyyy__ :
Siku mbili nyingi huna ya pap kwa papo
2025-08-23 11:59:17
1
merysianahthomas
jennie de♒️ :
😂😂😂kumbe mnatulogaga
2025-08-23 10:42:05
1
To see more videos from user @doctorskimbunga, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About