@ekmunyagi: Je, kuna tofauti gani kati ya DENI na MKOPO? Wengi waga tunachanganya maana ya haya maneno mawili. 🥳 #Madeni #Mikopo

Edmund Munyagi
Edmund Munyagi
Open In TikTok:
Region: TZ
Saturday 23 August 2025 03:00:00 GMT
373
11
2
1

Music

Download

Comments

mothersboys1
Mothersboys1 :
Mkopo ni Pesa unazochukua kutoka kwa mtu au taasisi.Na Deni Hali ya kuhitajika kulipa pesa hizo (ama kutoka mkopo, ama kitu kingine ulichopewa).👏
2025-08-23 08:25:56
0
mrkachigunda6
MrKachigunda💰 :
mkopo ni makubaliano ya deni, deni ni amount ya mkopo😄
2025-08-23 03:41:11
0
To see more videos from user @ekmunyagi, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About