@salmamrisho1: Hili goma la kisukuma likipigwa hata kama hujui lugha lazima unyanyuke ucheze au ujitikise ulipokaa #geitayetu #geita

Salma Mrisho
Salma Mrisho
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 22 August 2025 19:29:31 GMT
222994
4259
123
333

Music

Download

Comments

the.moon9436
THE MOON :
kama majinga
2025-08-23 14:22:33
3
profsaidi
prof.said :
taja jina la wimbo tuka download
2025-08-23 09:32:58
4
frolaleons
frolaleons :
wasukuma mnapenda kucheza hizo ngoma zenu
2025-08-26 07:01:01
0
elisha.julius23
Elisha Julius :
nikiwa na wazazi kama hawa lazima niende kwa mganga kutafuta utajiri maana kafara tayar ninazo
2025-08-23 13:32:16
8
tinyd57
tinyd :
RECHO akiwaona hahaha😂
2025-08-23 12:29:18
3
maryamomary0
𝐌𝐚𝐫𝐲𝐚𝐦🦋 :
wale wa 10/10 mkuje tulike videos
2025-08-23 12:42:59
1
user45176177228107
esther Pison :
mmepewa kumikumi na vismat mnachangamka
2025-08-26 08:04:27
0
kidotijoshua
kidotijoshua :
wana nyakangwe 😂
2025-08-26 10:00:28
0
zainamcharo4
cute 💦zaina ❤️❣️ :
wimbo wangu pendwa japo kuwa sio msukuma♥️
2025-08-23 14:32:23
0
ayubu.mdindile
Ayubu Mdindile :
Hapo wameshamliza mtuu ila wajumbee mungu anawaonaaa😃😄😃😄😂🤣😅🤣😂
2025-08-24 17:53:26
0
xhy.boi
shyboy :
hili ngoma atali nikiwa na fuso fighter mda saa nane hakuna kulala
2025-08-23 15:32:56
0
user374936349656
user374936349656 :
wafata mikumbo🤣🤣🤣
2025-08-23 14:14:08
0
user9981105055061
b@byCute⁰00001 :
huyu mubaba ajui kucheza😅😅
2025-08-26 05:41:45
0
jinakubwa85
Jina Kubwa :
😂😂😂 mitano tena
2025-08-26 09:28:59
0
rosepaul4255
Rose Paul :
Yani nyiee wazee nawashangaa sana nyumba unayo ishi inakuliza nikuuee au nikusameh kijani inakudanganya
2025-08-23 10:03:14
0
alp.njigo
Alp Njigo :
Uchaguzi ukiisha mnaanza kusema maisha magum
2025-08-23 03:37:44
0
junuryphilimon
Junury Philimon :
pombe buku tu hiyo
2025-08-25 12:15:34
1
user35747756173858
neema nyawinga :
kweli kabisa
2025-08-26 08:56:11
0
doublel174
official@Joey🍓 :
wa baba wa kisukuma oyeee
2025-08-24 17:18:20
0
user34121500347427
Haji Twaha :
tunaibiwa mpaka.cheze ni watu wanaiba rasilimali
2025-08-25 12:17:03
0
igaga100
IM :
Hizi nguo za laqna siwezi vaa
2025-08-23 09:08:59
0
user1322214941561
user1322214941561 :
nguvu ya afkumi za rushwa muwe daraja la kupitisha malkia na familia yake😁😁Ila mjue ina wenyewe😁😁😁😁😁😁😁
2025-08-23 12:08:13
0
user6115632194195
faraja :
wajumbe
2025-08-24 10:41:25
0
rehemaadecki
RehemaAdecki :
mbona hakuna baskeli jaman au pikipik???
2025-08-23 11:18:37
0
user97335992918763idddy
iddy 28™ :
talatibu tyu baisikeli🚲🚲 mtapata2
2025-08-25 19:07:16
0
To see more videos from user @salmamrisho1, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About