@mafolebaraka: Walimu Hii👋 Ualimu mtandaoni ni moja ya mchongo unaolipa sana kwa sasa. Fundisha lugha kama Kiswahili na Kiingereza kwa watu wa mataifa mbalimbali kupitia websites za Amazing talker, Italki na Preply. Unataka kujifunza zaidinkuhusu kazi za mtandaoni? Tembelea website yangu www.mafolebaraka.com ama cheki channel yangu ya Youtube ( link kwenye bio) #freelance #onlinetutoring #preply

mafolebaraka
mafolebaraka
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 22 August 2025 19:50:23 GMT
53829
2158
79
272

Music

Download

Comments

lil_vonn7
lil vonn :
nifunzeee
2026-06-22 13:25:17
2
eliabryson539
It's Elliah 😍🥰🔥 :
niunge
2026-05-29 06:23:48
1
unlimited_internet_bundl
Mr.Yas ma Internet :
naomba uwe mentor wangu kweny online/remote works kaka...🙏🙏🙏
2025-08-22 19:58:49
2
brightvistar
bright Vista :
baraka ni siasa tu anatafuta followers, mkisuniri hizo website mtachemka hamna kitu hapo
2025-09-06 19:04:27
7
samyugee
samyugee | digital marketing :
weka subtitles bro...na spelling za hizo website...
2025-08-22 20:02:41
3
stillme_nam
namluu :
share hio story mzee😂
2025-08-23 05:06:19
1
fal_baby_
Falhaty_♥️ :
kaka me n mwalimu mpya wa preply ni app gan ya kupokea pesa Tanzania kwa urahisi
2026-07-16 13:19:54
2
mayala.mayunga
Mayunga... :
hata sisi darasa la saba tunaweza kufundisha
2026-01-22 09:43:46
1
hamisimohamedi34
Mido :
Huyu jamaa ni fabrizio romano
2025-08-23 18:06:19
2
medson2_02
medy_202 :
kaka naomba kuuliza vitu gan vya kuzingatia kwenye English test kwenye Invisible jobs maana nimeitwa kwenye interview
2025-08-22 20:29:19
2
madam_monaa6
Madam_Monaa :
Kaka naomba ya kutafsiri kiswahili m sielew naanzaj
2026-04-12 10:30:59
1
rashidnikison
Lil chidy daddy yooo :
Sasa share mbn maneno mengi
2025-08-24 21:57:32
1
user4171352609453
shesiapho :
nataka niwe nafundusha kiswahili please
2026-02-01 17:13:53
1
fancy_cakes1
Fancy🌸 :
Shida Baraka hausemagi hizi website kama unalipia au free..! Tunyooshee maelezo bro, ili tuwashushe hao Wakenya🥹😇
2025-09-01 08:26:12
2
malimaathumani
othmani ruuni :
kaka naweza kua mentor wako.ila mimi sio teacher.
2025-08-23 04:40:45
1
magrethjoseph_
Magrethjoseph_ :
jamaa yako mwingine wa karibu kasema unatengeneza content tu upate ugali, hakuna ukweli wowote kwenye content zako na ukipost pesa ni kuvutia followers tu
2025-08-23 20:15:42
2
mashelle_1
mashelle_1 :
story ya hako kadada kwanza broo🤣
2025-09-30 09:30:38
1
prospermanyama
Prosper Manyama :
samahani kaka naomba unitumie majina ya hizo website kdogo english changamoto kusikia apo 😁
2025-09-06 00:01:50
1
mjengi_tz
Mnyang'iriJr :
me Nina cheti toka BAKITA Cha kufundisha Kiswahili Kwa wageni, embu ngoja nijaribu
2025-08-23 09:48:27
1
teddy.mbaga6
Teddy Mbaga :
amaizing talk waliniambia et watanilipa dkk 50 d0llar 2
2026-09-27 06:59:31
0
jordanboaz4
Jordanboaz :
niunge kaka
2026-06-25 20:37:34
0
lordricklaurence2
lordricklaurence2 :
nikonect
2026-05-27 12:02:36
0
masanjapasco
Samba Masanja :
Mniambie hizo web ni wapi nazikuta, playstore ama google
2026-05-26 08:38:56
0
yasinta.ndokole
Yasinta Ndokole :
Kaka mimi natamani unielekeze kujiunga vizuri kuhusu outliner ai swahili kila nikijaribu inaniambia huduma hii haipo
2026-06-28 14:47:48
0
uswahilindigital.com
uswahilinidigital.com :
huyo jamaa ni lazaro 😂😂😂
2025-08-23 10:43:43
0
To see more videos from user @mafolebaraka, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About