@ally_el_bakry: sikiliza mawaidha haya ufaidike 🕊️ “Muislamu, usizaruaye dada yako. 🌸 Heshima yako kwake ni baraka kwako na kwa familia yako. 🙏 Dua yake ni baraka kubwa, usikose kusikiliza. ✨ Kwa dakika moja tu, sikiliza ujumbe huu upate faida kubwa. 💡 Kila unaposambaza heshima, Allah anakukumbuka.#muslim #tanzaniatiktok #video #trend

علي عبد الله
علي عبد الله
Open In TikTok:
Region: TZ
Friday 22 August 2025 21:58:51 GMT
1507604
150416
1923
20345

Music

Download

Comments

aish.j97
Aish j :
hii video mdg wangu anaipost kila ikifika tareh za Mimi kulipwa 😅🥰
2025-08-23 09:36:15
421
tzvanessa
Marry cosmetics namanga 🇰🇪 :
Hapana dada yangu 😭😭 ni mbaya ananifanyia fitina kila kona😭😭😭 dada yangu amenigombanisha kila kona mungu wangu 😭
2025-08-23 10:36:59
150
menavictor2
faidhavictor :
Ila kuna dada angu mim cjui ata nlimkosea wapi wallah naumia ndani kwa ndani cjui 😭😭
2025-08-23 09:40:32
84
mimuhnashy
Young news anchor :
Alhamdulillah niko na dada🤲🤲🥰😭
2025-08-23 14:41:08
61
twiga4223
🦋queen_munny🦋🔐🔥🌍 :
Sitaki kumuhukum dada yang kwakuwa tumechangia baba na sioni upendo Ila namuombea mungu 🥰
2025-08-23 16:22:04
31
user7830993637722
mummy :
dada Ana ni penda sana
2025-08-23 13:22:39
5
shammylabelle
shammy la belle❤️❤️💄 :
sio wote wazuri huwez kuelewa kama hujapitia chochote
2025-08-23 10:00:27
31
rahmajuma1256
rajusa :
allah akulipe kwa ujumbe huuuu 🤔🤔🤔🤔
2025-08-28 16:36:48
9
user4853037663707fatima
bi mzuri 🍼👌 :
yarabi nitunzie dada yangu🥰 mjalie kila.lenye heri 🤲 Naumuepushe nakila shar.zadunia hii
2025-08-23 12:32:55
17
dkt.kibequotes
Dkt kibeQuotes😍 :
uongooo...wote wanakutupa tu...me ata nikiomba mbao ya sukuma shule anaona tu anasoma na hareply😥😥
2025-08-24 20:32:23
6
user3521461404151
Najma :
mim hata nimetengwa na familia kisa ndugu zangu wadogo Acha natamani hata nipate mtu nisie mjua nimuite dadangu naishi maisha ambayo sijui nianzie wapi kuelezea kisa ni hawa dadazangu mwanangu hakuna mtu anaemjua kwenye familia yangu mapaka ako 7yrs weee nyio mlio pata ndugu waziristan nipeni hata mmoja tu angalau na mim kuwa na furaha mwanangu ywaishi na mtu nisie mjua kwao wapi kwa kunionea huruma weeeee Acha ninyamze maaana nina mengi😭😭😭😭
2025-08-25 10:27:43
5
hanifakilalile
hanifa kilalile :
mm ninamshkuru sana mungu kwakunipa dada aliyekuwa bora naaanaupendo sana nasisi namtakia maisha marefu nayenye mafanikio
2025-08-24 11:12:33
5
raymondturnbull4
drag zee :
Allah mjalie sana dada yangu na umpe maisha mema na marefu katika maisha yake y0te 🙏🙏🙏🙏🙏
2025-08-25 09:12:54
5
mamusa20
mamusa20 :
Alihamdullah mie kama dada najivunia kupata wadongo zang wananipenda wananisikiliza San San mpak raha hii video kila siku lazima waipost na dua nyingi kuniombea nawapenda sana wadongo zang ❤🥀🥀
2025-08-24 08:30:02
27
faustinaprecious
user727038397943 :
daaah sio kweli jaman kwangu imekuwa kinyume mm ndo nampambania dada angu lakin yeye ndo anguko kwangu ananidhamin nikiwa na pesa inaniumaa😭😭😭😭😭
2025-08-24 06:35:15
5
aisha.de.queen3
Aisha de queen👸 👑 :
hakika Allah akupe mema uish maisha marefu
2025-08-23 12:41:54
20
x.promise7
X Promise :
wallah dada yng ata afariki leo siwezi lia km ni ufalme basi me nimeambulia patupu mpk leo hii sijashika ata 100 yke
2025-08-25 07:39:29
8
user6670461375383
ziaba :
sio kweli mmi dda angu atuongea huu ni mwaka na miezi Kwa sababu ya wivu tuuuuu nilikuwa nampenda nampa Kila kitu lakini 😭😭😭😭😭😭
2025-08-24 04:38:43
9
madam.jo181
Madam jo :
Nawapendaa sana wadogo zangu wotee❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2025-08-23 12:25:05
6
gram3857
Gram :
Allah amuweke dada maisha marefu
2025-08-23 13:29:55
20
bint.moh73
Bint moh❤️ :
Ni kweli Dada Angu Allah Amueke sina mama ila najivunia kua na dada ni mama wapili hata tuudhiane nikilia na yeye analia🥹Allah atuekee dada zetu tusiwadharau kwa kila hali zao🤲🏻❤️
2025-08-23 22:57:40
7
user4831442592194
mc woter :
sio kwawadogo zangu hawanipendi kisa sina pesa ilaa mimi nawapenda sana mama kaniachia yeye kama zawadi 😭😭
2025-08-23 15:12:18
26
herson.maah
Herson mAah :
Allah akbar
2025-08-23 11:45:49
9
didah_1990
😍DIDAH😍. :
dunia ya leo mtihani, m/ mungu awafanyie wepesi wote ktk famiia zao
2025-08-23 10:51:56
5
To see more videos from user @ally_el_bakry, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About