Mbona mambo ya kupinga liwati huyu shekhe hagusii ? Au ndio hivyo tena?
2025-08-23 19:14:28
13
maryumma :
wanaume pia wakirudi kuchelewa majumbani huleta majini
2025-08-23 19:15:11
40
mama mohamed :
sasa huku warabu hio time ndio wanatoka wakazurure wakirudi ni 11pm🤔🤔
2025-08-24 07:33:40
12
chunaa ❤️wa❤️ mamangu ❤️ :
na michepuko pia yaleta majini waambie hao waume😂😂😂😂😂
2025-08-24 09:46:32
6
Catherine Mollel :
sasa ndio nimeelewa kwanini tulikuwa tunaambiwa ingieni ndani jioni unasema usiku Bado mnacheza ila amri lzma ingieni ndani yaani saa 12jion ni ndani sawa na kuku, kumbe ni hivii.... saa hizo tena mnaitiwa chakula Cha usiku mlee muoge au ni kuoga so mpk matokeo nje saa 2
2025-08-24 07:52:15
14
kassimomar2012 :
Watoto chini ya miaka ngapi?
2025-08-24 04:46:47
7
user5700816210800 :
nakupamba majini hufuwata mafuta
2025-08-23 19:07:13
6
Malkia Wa Hamso :
🤔subhanallah
2025-08-23 18:42:48
11
Mohammed Hassan :
ndio
2025-08-24 10:16:39
2
fartoum🌷 :
sisi kwetu saa 12 jioni kama hujarudi nyumbani basi Jipange na mboko
2025-08-23 19:38:59
16
shego :
shukran kwa mawaidha haya allah akulipeni kheri innshaallah
2025-08-24 09:22:02
9
Baba Mtulivu :
hawasikii hawa wanawake hata ukiwaambia n wajuaji wanawake
2025-08-24 09:45:56
3
Allah Aqbar :
Ahsante kwa kunizindua nilikua sijui Alla akulipe kher
2025-08-24 07:03:09
5
Haji Mohamed :
naam shekh bora umetupa elimu leo maana kweli asaiv hilo limekuwa janga
2025-08-24 07:36:50
6
mrsqueen :
True 👍👌
2025-08-24 07:36:00
5
dada nasma 🇴🇲🇹🇿 :
subhannallah
2025-08-23 20:29:24
4
Captain surprise👮♂️ :
Nakumbuka hyo time mm nilipokua mtoto
2025-08-24 18:03:18
1
Babayegga94 :
hii n swadakta ustadh...mm pia nakumbuka ikifika karbu na maghrib watoto waambiwa wakae ndani haifai kua nje
2025-08-23 23:21:50
8
user1519601350710 :
subuhana allah
2025-08-24 06:02:17
4
Husnathebosslady :
Mh jaya
2025-08-24 18:35:39
1
jamilah issa :
YA Rabbi tulinde
2025-08-24 02:16:54
4
Mohamed Mbwana :
Al akhy kwani mulihama Mpeketoni ni maalim Muhammad Ali Mbwana Mpeketoni lamu
2025-08-24 06:22:45
3
Zeddy Saleh :
ni kweli sheikh
2025-08-24 03:33:07
5
Da chuby :
Asante sana
2025-08-23 18:24:41
4
🌹❤️ :
shukran ustadh
2025-08-24 07:06:44
3
To see more videos from user @uislam.dini, please go to the Tikwm
homepage.