demu wangu namba nane ana nichanganya au kwasababuu anajua nampenda sana oya naruka nayo hiyo kaka
2025-09-10 09:11:51
9
Prinex Amoni :
naipataje hio biti
2025-08-31 16:36:42
6
@Hamza.org :
we mxhikaji unajuag xn🎤🎤🎤
2025-08-31 15:34:54
8
@$#|T0K@ P@L€🤣🤩🤣 :
Uko wp turikodi ngoma mwanang
2025-09-16 18:34:59
5
New Airdoctor :
msomali na medy
2025-09-07 08:20:07
5
maison_samsung :
noma sana mzee, burudani moto🔥🔥🔥🔥🇨🇩🇨🇩🇨🇩
2025-09-11 14:03:52
6
Rama Iddy :
mpe sele minamba anapita nalo bila wasi
2025-08-31 13:43:52
5
Lameck Nashon :
blaza mabiti yako yasingeli nimakali kama vipi tufanye kazi naweza kuimba naitwa mdogo jizo nakukubali
2025-09-26 13:19:42
5
paxodhi jfo mp3 @ :
kak naitaka iyo beat nipit nayo
2025-09-16 12:43:23
6
fadhili issa :
mimi naweza kupitanayo
2025-10-11 21:51:05
7
JUSTINE MKEMWA :
mkinipa mm ilo beat ndo itakua hit song ya kwanza dunian
2025-08-31 10:34:27
5
🍀nanah🌿 :
mm🙏 ap
2025-08-31 12:26:50
5
mc mnago Mr money :
Wana penda kujikuta kisa wawo Wana pesa Wana penda kutu tesa kisa wawo Wana pesa ila sawa najuwa mtowaji mungu na ndoo mana naomba sana duhu anipe na mm nisi.ishi kinyonge dar sina amani kwe life mora ni bres na mm nijipate tuvimbe wote aya Aya twende na vaib la kushete nitililike au Ina tosha
2025-09-03 08:36:55
6
Samsoni Mbangula :
mpe medy voice
2025-10-08 07:12:53
6
HASH BOY KE 👦 :
mm haha
2026-02-27 19:37:03
1
alfa ronny :
laitwaje hili beat niko na ngoma hi beat ina nifaa
2025-10-21 14:03:33
2
Ramadhan Hussein :
1.
2026-04-23 14:26:37
1
CHINA~BREEZY👑🏆 :
nakubarii kaka 🔥🔥
2026-03-30 18:09:40
1
shebbyjuma0 :
mjomba nmerpenda ntalipataje
2026-03-07 16:25:37
1
To see more videos from user @geniusmixx, please go to the Tikwm
homepage.