wauni wamevurugwa huku .ila big up sana, hii ndio jihadi
2025-08-24 06:49:25
24
Bruce banner :
Ameen ya rabbi 🤲
2025-08-25 13:27:45
0
abby class :
hakika yaukumbusho utamfaa mwenyekuamin🙏
2025-08-23 15:37:29
90
Kontawa Striker🧨🎭 :
Sala 5 tuuu💪
2025-08-23 17:19:39
16
mau kibanga :
uzur wa zenji wat wamezaliw kweny din ata akiw muun ila Qran ipo kichwan daah mbarikiw san wanet
2025-08-25 11:28:27
3
Mwanamis Ndala :
Amiin yarabbi amiin
2025-08-25 11:49:27
2
Makanzu :
wasia mzuri ni kutoka kwa kijana kwa kijana mwenzake❤
2025-08-25 09:33:11
3
Jamal Maloh :
mashallah brother Muslims iko sawa Allah DEREVA sikuzote ☝🏾
2025-08-25 04:58:22
2
hussein njiku :
usimdharau usie mjua mmetisha kak zangu
2025-08-24 06:07:42
29
samurai :
Amiin
2025-08-24 10:41:43
2
MOH'D :
Mnaamrisha watu wema munasahau nafsi zenu hivi nynyi mnaakili
2025-08-24 07:49:53
5
Nana Komora :
Mashaallah tabarakallah Allah atupe husnul hatima njema🙏🙏🙏
2025-08-24 20:46:27
3
jafary jenje :
nimependa maneno yenu salut
2025-08-24 06:03:56
3
Nassir figo36 :
hakika ukumbusho utawafaa kwa wenye kuamini
2025-08-24 08:55:09
13
Kellykhan18 :
46 ndio logo......nawatambua sanaah mwanangu Tawa ywapi
2025-08-25 12:01:37
1
maryam issa :
Amiin thumma Amiin 🤲
2025-08-24 09:55:32
3
PANTHER B :
hawa ndo vijana sasa na ndo wakukaa nao maskani watu kama hawa ausio brooo
2025-08-25 07:55:52
2
@tbeg :
code in this dunyaah 24434 @2for fajri @4for dhuhri @4for asr @3for magharibi @4for ishaa
2025-08-23 22:25:10
5
somapaschal :
masha Allah
2025-08-24 15:06:10
2
kimwaga5 :
daaah wauni wana namba zao 43 chuga umetisha sana 🔥🔥🙌🙌
ila wanangu kila siku nawacheki leo mmemaliza maneno yoooote huo ndio usela
Mashallah Mashallah respect sana wauni 🙌🙌
2025-08-24 11:01:59
3
mwanah :
jaman hao wakak mashallah tawapatje nahc watanifundsh kitu