ww ni mzalendo kama nd ungekua udiwani unapita bila kupingwa
2025-08-24 16:59:04
3
DullahSaleh :
Bro hatukudai umepambana sana😅
2025-08-24 06:01:17
194
toxic traits :
kaka brotherhood we proud of u😂😂😂
2025-08-24 16:58:24
1
Z_Mapolu :
endelea kukaa mbele kwenye kikak mpaka wakenya wakome😅
2025-08-24 17:12:14
3
Michy diewelly :
sanamu lako unataka tukujengee wap🤣
2025-08-24 16:58:39
6
its naseeb :
mzee next time usmwambie tu Kenya Bali weka na bendera kabisa Kisha chat nae kiingereza broken Cha kuungaunga na umwambie nchi yak masikin sana ili awaambie wajapn wenzie Kenya masikin