mm nilitumia kio na chumvi nipate Mme wamekucha wengi Hadi nimeshindwa kuchakua,nisaidie hapo
2025-08-23 19:44:23
46
Mamu kimodo ♎ :
prophet,mimi natumia choo cha ndani je ni sawa kuogea choon???
2025-08-23 22:06:31
12
fredman shamamba :
tutumiya picha ya mdalasini plz
2025-08-24 06:07:37
17
mont :
Bahati yoyote yoyote tu😂😂😂😂😂elewa bahati yoyote hata bahati mbaya ni bahati
2025-09-23 07:32:12
15
ndungu ka mwea :
mdalasini inapatikana wapi
2025-08-23 21:36:45
6
jasiri :
mimi kila siku kabla ya kwenda kazini huwa nachukua mdalasin na sukari nanawia mikono na uso aiseeee kila siku lazima nipate hela
2025-09-20 04:48:24
10
vane_liz05 :
yani ningejua nguvu ya mdalasini ningekuwa mbali sana. Toka nimeanza kuogea mdalasini na asali na chumvi ya mawe nimefanya maendeleo ndani ya miezi mi3 ambayo sikuwahi kufanya miaka yangu yote.
2025-09-18 12:11:59
11
NEEMA :
kioo unawekaje kwa maji?
2025-08-23 21:01:09
9
Mo-re-na-hono ♥️♥️ :
inatakiwa unenee maneno yoyote?
2025-08-23 20:20:46
14
Ahmadi Tuwa :
DAWA YA BAHATI NI NG'EKEWA TU
2025-08-27 10:36:38
5
Mandimule Marya :
Hicho kioo ndio sielewi kinaekwa vipi…ama ni kioo kidogo unaweka ndani ya maji
2025-08-23 20:34:42
7
Liźzy✨️ :
muhubiri 9: 11, Nikarudi nakuona chini ya jua ya kwamba si wenye mbio washindao katika michezo, wala sio walio hodari washindao vitani. wala si wenye hekima wapatao chakula, wala si watu wa ufahamu wapatao mali, wala wenye ustadi wapatao upendeleo.Lakini wakati na bahati huwapata wote.