@ndaro_: SASAMPAAAA🙏🙏🔥🔥🔥🔥

Ndaro
Ndaro
Open In TikTok:
Region: TZ
Sunday 24 August 2025 09:09:52 GMT
850617
24337
1075
408

Music

Download

Comments

justinewakwanza
justine wakwanza :
tafutaa hela usipigee nazoo pichaa ,,,,
2025-08-24 10:20:54
172
nellyson615
nellyson :
hakuna kitu tam kama pesa ya mkopo😂😂
2025-08-24 11:25:11
88
hemedjmakanika1
2025-08-30 06:53:30
4
ngwambonatebrand
Ngwambonate Brand :
mkiumwa tutawachangia msijali
2025-08-24 13:53:46
28
paul.tk3
Joke paul 🇰🇪🇰🇪🔱🔱✅✅ :
iyo yote kenya ni 30k
2025-08-24 12:45:06
24
allany502
Michael 58 :
umeanza ushamba
2025-10-08 15:42:50
9
samweli.piter
samweli piter :
ila sitivu na uchizi wake wote bado yuko simpo saana hanaa mambo kama yandalo
2025-08-24 13:50:42
11
reonadimwananzich
he's wanting :
bro ndaro huitaji body gadiy 😂😂😂😂😂😂😂😂😂
2025-08-24 14:14:55
8
joe.kimaro1
joe :
wale wa 10/10 njoeni upesi
2025-08-24 14:28:23
19
papaa.seperwa
Papaa Seperwa :
huo ni ushamba sana ww ni mtu marafu unakuja kutuonyesha milion 25 hera ambazo za ada za mtoto wangu shulen
2025-08-27 13:20:17
9
djnasoro.mushizo255utawa
DjNasoro Mushizo255 Utawaua ✌️ :
vifo Vingine mnavitafta Nyinyi Wenyew 2 Jmn Et
2025-08-31 14:13:46
2
user556770101450
Adam Benson :
wale wa 20/20 twende
2025-08-24 18:34:12
9
user2155939095461
semba :
tanzania amebeba pesa ya kubuy tv na aishiwe
2025-11-19 06:26:45
0
shabanimdoe303
tomh :
mjomba sio vibao
2025-10-08 18:07:09
2
dangote.shaban255
dangote.shaban255 :
izo sote ni thao 5 ya kenya
2025-09-01 11:07:01
0
new_dodomatz
@New_Dodoma_tz :
sawa baba tamba ninwakati wako wakati wa kila mtu utafika its ur time
2025-09-16 10:16:19
3
honeybadgersafari
honeybadgersafari :
Ndaaroo kutoka umeweka hizoo nywele hivyoo umeeanza kuwa na pesaa
2025-08-24 12:48:52
1
kashabe.kapauda
jovin jovit :
8/8
2025-10-02 18:42:13
1
bob.mossy
Bob mossy :
la discrétion dans la vie c'est très important ! Kama auelewi tafuta watu wana ongeya Ku Faransa weye wako uko tanzaniya wata Ku elewesha
2025-08-24 13:16:05
1
user8634828856147
davido :
umeambiwa kapelek hela za vikoba umeanz kuchezea njian🤣🤣🤣
2025-08-24 13:56:01
3
paskali.indae
pasikali indae,🇹🇿🇹🇿 :
nyinyi mnaroho mbaya Bure machukizo ya bure ziwe za mkopo zake ziwe za fremasoni zake ziwe zako ndo zake yaani hakuna kitu makasiriko ya dede
2025-08-24 13:13:43
3
user8026081400798
[email protected] :
Ndaro,Tafuta Hela, MBAO wapelekee maliasiri🤣🤣
2025-09-16 18:04:59
4
prince.sheshe2
0my sheshe 🫠☠️ :
nlikua nakuona mjanja kumb🙂😂
2025-10-08 18:16:21
2
dogotwaha
user3900078526903 :
hatari sana mjesh🤠🤠🤠
2025-08-24 10:44:22
3
user9743477536076
Juma one Tz :
ningepiga picha na hera zangu sema staki ndugu wajue kama na cash money
2025-08-24 17:13:12
3
To see more videos from user @ndaro_, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About