TZ have something sisi Kenyans hatuna, good designers.
2025-08-25 16:19:35
646
Miss Essie❤️🦋 :
Kila nikiwaza ipo siku na mm nitacheza hvyo mbele za watu na hizi aibu zangu naishiwa pawa… cjui itakuwaje😂😂😂
2025-08-25 16:50:04
739
MISS KALUGENDO🇨🇩 :
kavaa rangi ya dunia🤣
2025-08-25 08:10:23
335
sheila kipala :
kazuri jmn afu kamependeza🥰
2025-08-25 06:23:48
627
Happie❤️ :
Yaaani anavotoka kwao kwenda kwenye ndoa anakua na furaha hadi basi🥹🤦🏾♀️wanaume ptuuuu.Please mkioa watoto wa watu msizime nuru za furaha zao jamaniiii🥹.Yaan I’m so traumatized and scared kuolewa kisa matukio nnayoyaona.Kamependeza kenyewe😘❣️Ikawe kheri kwako
2025-08-25 10:52:48
229
polite_girl5 :
wafipa wote mwalinda uliiiii
2025-08-25 06:11:10
166
Salome🌸 :
kumbe familia 😂😂 , wafipa mwasipusha kalesaaaaa
2025-08-25 07:03:30
55
_ndama_jeuri👽 :
engineer sasa je mwamba ni nani? jiulize ww apo kama cyo T R A njooni apa mniuwe😂
2025-08-25 03:03:16
28
reeny_juice :
Wafipa ni mwarembo🥰🥰🥰🥰
2025-08-25 05:37:29
87
Aneth Michael :
mwalinda uli mweeee
2025-08-25 05:02:27
20
aricey jakison :
kafanana na posh queen
2025-08-25 07:51:11
145
jakline :
kafanan na mdada wa kinageria anaitwa uche Montana 🥰
2025-08-25 12:35:52
6
PHILLIPO ⛎ :
🥰Kuna MTEJA anaweza akaj akasema fundi nataka gaun simple alaf anakuja na hii inspo 😂😂😂😂
2025-08-25 05:36:58
60
celebritySalha :
kapendeza mpaka kapendeza tena
2025-08-25 04:30:23
52
Maria :
Kila siku nabadili gauni la send off😂muoaji mwenyewe sasa😂😂😂
2025-08-25 12:00:05
79
Massy Rich 🎶🎼🥁 🎻 ♊ :
mi nimependa nguo wafipa oyee nawapenda sanaa
2025-08-25 09:00:58
14
ms.renee💖🧚 :
wafipa warembo
2025-08-26 07:33:07
7
mazizah :
mbona kambe Ana taka kufanana na chioma
2025-08-25 17:35:34
8
Flosa🤎🤎 :
kafanana na mke wa jux
2025-08-25 07:13:27
33
m.a.m.u22 :
Mzuri, kapendeza, anajiamin pia apewe maua yake bwana🌹🌹🌹🌹🌹
2025-08-25 11:40:27
8
Gaceri 🥀 :
thought its Uche montana 😁🤩
2025-08-25 15:07:24
70
Selina..😍 :
nmeskia wafipa 😍😍😍
2025-08-25 05:24:36
12
Minnah🧚♀️❤ :
Engineer 🥰🔥
2025-08-25 07:46:29
7
geniousamerenahga :
Kapendeza sana alafu nyimbo ameitendea haki🙏🏼
2025-08-25 05:47:20
8
To see more videos from user @hallmoment, please go to the Tikwm
homepage.