Kibaya zaidi hata ukimwambia Aliejipost ukampa mawaida, basi kuna waislaam kabisa wanakujua juu, watakwambia unajifanya mungu mtu, unajifanya unajua kuhukumu, jali mambo yako Innaalillah wainna ilayhi rajiun. halaf watu hao wakifa ndo utaskia jamani msicomment kwenye video zake zinazid kuonekana. jamani muacheni apumzike. mara jamani tuireport hii Account ili ifungwe asiendelee kupata dhambi
2025-08-26 06:38:49
16
فاصل :
makhurafii ndio ukiwa nasihi husema sisi ndio wakuhukumu
2025-08-25 18:04:00
1
Binti shaaban :
Na hata akifa kama bado picha zake zipo mtandaoni basi itakuwa ni maasi yenye kuendeleza, Allah atusamehe sisi wanawake na atupe mwongozo mwema
2025-08-25 14:46:58
13
abuuzakir :
mashaa llah sheikh wangu Ali ullaa
2025-08-26 10:27:19
2
الجهوري 🌿😎 :
Hakika sheikh 💯 wanajianika 2 huku
2025-08-25 13:43:51
10
Fatema Hamad :
Allah atusamehe kwakweli atuongoze katika njia sahihi
2025-08-26 09:34:11
1
SA'ADA MUHAMMED203 :
Allah atuhifadhi wallahi nimtihani mkubwa tulonao wanawake sasa
2025-09-13 04:07:29
1
shabani seif :
mpaka mke wako shekhe usikute akajipost
2025-09-12 13:25:51
1
habesh 760 :
kweli kabisa
2025-08-26 08:52:55
1
NATALY PLATNUMZ :
Mwanme rijali hatokubali mke au mdogowakike kumuona hasharani mitandaoni
2025-08-26 04:49:00
1
FARIDA :
Shukrani ustadh
2025-08-25 11:52:20
2
Ismaistiqama! :
tumeskia mashallah alafu ongeeni kuhusu baitulmaal ndio tusaifie mayatima na wajane tulionao
2025-08-26 15:22:16
1
watuwema# :
sheikh matusi
2025-08-26 19:18:53
1
Cushitic,boy :
sheikh tumejaribu kila njia lakini wanakuvamia ata tumewaacha kabisa 💔💔
2025-08-25 20:46:19
3
Nurdin kishki) :
subhanallaah 🤲🤲🤲🤲🤲🤲
2025-08-25 21:20:56
2
Ahzaar 23 :
SubhanaAllah mungu tuogoze sisi wanawake 😭
2025-08-26 06:32:39
0
bint Abdallah 💕 💫 :
Sku zote ukweli unauma Allah atuongoze 🤲🤲atakae pewa nasaha akanzaa kutoa matusi bc jua nasaha imemgusa