Kuacha kujiona muhimu kwenye maisha ya watu kutakufanya kuwa huru na kuishi kwa amani. Kama hujaalikwa usiende hata kama mtu huyo ni wa karibu. Kama umekataliwa kubali usilazimishe kuwa wewe ni muhimu kwa mtu wakati huyo mtu haoni umuhimu wako. Acha kujiona muhimu kwenye maisha ya watu.
2025-08-25 12:04:34
2
Steve SUFIANI :
ndio kk 😂🤣🤣
2025-08-25 18:38:36
1
sattykhan77 :
🙏🙏🙏🙏 Allah huma Ameen
2025-08-26 07:50:08
0
uhty ney :
duuu miak buku kwako allah azid kukuek
2025-08-25 16:10:01
1
Muhsini Idrisa :
maasha allah umesema kwel
2025-08-26 17:16:49
0
Hassni5285241878793 :
nikweli kka
2025-08-25 15:24:47
0
➻➻TEAM★THE DON+(&) KWAMZUZA★ :
Allah akuhifadhi san bro
2025-08-25 11:57:36
0
@officialHawa majubaFashion :
👌
2025-08-26 14:52:09
0
Sadick :
🤝🤝🤲🤲🤲
2025-08-25 12:11:15
0
Jay p :
🙏🙏🙏
2025-08-25 12:01:26
0
janjaro tz :
pw kk umitixh
2025-08-25 19:29:44
0
To see more videos from user @fadhilomarydai69, please go to the Tikwm
homepage.