@neylarforbes: 🦋

NeyNey🦋🤭
NeyNey🦋🤭
Open In TikTok:
Region: TZ
Monday 25 August 2025 15:17:34 GMT
246245
4134
310
299

Music

Download

Comments

mizzoboytz
Mizzo Boy TZ :
Sorry unaweza kuwa ndio kazi yako Ila hiyo sio Sawa Sana kwa uslama wako be careful with your work ❤️
2025-08-27 14:16:18
186
kasongogang1
KASONGO🐻 :
tunaoamini kuwa watanzania sisi muda mwingine ni wapumbavu bas tuamini hivo hivo kwann munapenda sana kupost pesa zenu wenyewe mnalidhalilisha taifa
2025-08-30 07:50:41
6
mcburah7
Mc Burah👊 :
Mshahara kwa Mwez laki na hamsin 😂😂
2025-10-01 20:40:39
72
christertrendz
Christer trends🎁🛍️ :
TutAkufatilia mwaya🥹💔😂
2026-07-23 19:15:35
10
jullykawishe
Julie🦚 :
Mko wapi siku ya maandamano nikae karbi 😂
2025-10-18 10:51:54
35
japhalkhams
japhalkhams :
ambacho mungu akikupa jioyeshe bwana ss ni maua uko sahihi kbx tajir yangu
2026-04-22 04:02:56
2
godfreylucas205
Godfrey Lucas :
Tunao amini kuwa mzigo siyo wake tujuane kwa like hapa
2025-08-31 17:54:32
54
thegreatoxygen
the great oxygen :
nyie wenzetu mna trade nini?
2025-08-26 13:15:10
5
jekelavincent2
vicentjekela :
Japo una pesa lakini still pia una hitaji kijana mwenzio mzuri wa kukupenda🥰
2025-08-26 17:52:21
16
officiallmuba1
~Muba~ :
hata ningekua hapa jetua isingenitesa kuinunua😁
2026-08-17 07:43:28
1
hillary_dean
Lario Hiezenbarg ✨️ :
alafu uje uniambie huna nauli
2025-10-03 12:37:34
2
isapesa7
ISAPESA :
ten million
2025-09-23 18:24:07
2
afro.haule8
Afro Haule :
ya Mimi nateseka kutafuta hizo kumbe mmekaazo huko
2025-10-19 16:10:33
3
mshashi35.com0
Miyamoto Mshashi. :
usifanye hivo Dada Kuna watu tunakosa hata mlo mmoja kwa siku
2025-10-17 17:25:05
10
neemajuma042
neema :
unaringa na pesa za iluminati shenz kabisa uwogopi ata
2025-08-29 14:25:41
6
bby.dollar4
bby dollar 💵 :
mtaani ela hamna kumbe ww umelundika ndani
2025-10-17 21:46:38
7
iiiusb96
USB 96 :
yaani siwezi ishi bila wewe nakupenda sana
2025-10-18 10:51:49
3
rozenwise
$%Rozen$% :
muulize kwa mwezi analipwa shilingi ngap kama sio laki na nusu nipo apa nasoma coment😂
2025-10-17 17:21:15
9
user99329080009120
Nembo ya Mtaa :
unajisikiaje kushikshika pesa za bos wako
2025-08-30 16:08:27
1
bahati.saidi71
Bahati Saidi :
mshahara 130k 😂😂😂
2025-10-20 09:29:22
2
happymoses580
Happy Moses :
unakaa na mihela yote hiyo muda huo mhahara wako ni laki 4
2025-10-18 18:44:16
2
jackiemeshacki
Jackline✨️🎀❤️ :
sio zake jamani naona vijana wameshaanza kumsifia pengine anafanya kazi mashilika yamkopo duh
2025-10-17 13:06:38
1
star.boy8845
star boy :
ata mm ninazo kuzid izo na ukibisha nakutumia
2025-09-09 12:10:35
2
user52650924885550
user52650924885550 :
Miosho to huna lolote zaidi ya masifa ili uonekane na watu ,take care of your life no one like your successful
2025-10-20 14:57:25
1
youngmedia795
[email protected] :
hapo kana tamani zingekuwa zake msingepumua humu ndan😅😅
2025-09-22 14:06:22
3
To see more videos from user @neylarforbes, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About