Allah sees your efforts
he hears your prayers, pain and tears ...May Allah turns your inshallah to Alhamdhulillah Mom atapona biidhni Allah Dua zangu kwake sana...can feel what you're going through i was in the same situation...kila hatua Dua dadaa 🫂
2025-08-26 06:28:49
12
almasi :
Allah amuongezee alipotoa mama twamuombea afya njema
2025-08-26 08:51:34
0
Marziya F Siddiqa :
nikikwambia c Dr.Nabeel he's Da best Mshllh
2025-08-26 17:30:41
1
Najma mama 3 :
Allah amfanyie wepesi inshallah
2025-08-26 11:02:30
0
dabrina🥰❤️💍 :
shukran sana mr speaker aroro Allah akuzidishie kila la kheri inshallah hapa duniani na kesho akhera ameen
2025-08-26 06:31:58
2
lilmamushka😘🥹🙂 :
ALLAH ibarik my dear
2025-08-27 16:41:01
0
Eyesher Earthmoney❤💋🦋 :
MashaAllah
2025-08-26 06:29:10
0
YoungMulla📸 :
Inshallah Allah ampe shufaa 🤲🤲🤲 mama ytu 😭😭😭
2025-08-26 06:30:20
3
Noughtyrany🎀 :
Allah ampe zaidi ya izo 🥰🥰🥰
2025-08-26 07:02:21
4
Nyuki Hakumbatiwi :
Ameen Ameen Ameen
2025-08-26 10:36:20
1
dida :
in shaa Allah ,Allah ampe shufaa ya haraka mama yetu.🤲
2025-08-26 07:57:20
2
chunaa ❤️wa❤️ mamangu ❤️ :
in sha Allah...iwe nafuu kwa mama 😔❤️
2025-08-26 08:24:51
0
MARIYSAL.COLLECTION ❤🔥 :
MASHALLAH Allah barik Allah ambarik Sanaa alhamdallah Allah ampe shifaa haraka mama
2025-08-26 10:53:14
0
Fearless collection ✨️ :
mashallah Allah ambariki
na ww Allah akutilie nguvu na akulipe kila jema na la.kheyr kwa kumpambania.mama❣️
2025-08-26 09:57:31
1
YoungMulla📸 :
My dear sis usichoke kuenda mbio kwa mzazi wako...Twamuombea dua mwenyezi mungu ampe shufaa 🤲🤲🤲Ameen inshallah
2025-08-26 08:09:27
2
user7741622672208 :
MashaAllah Tabarakallah, Allah ambarik sana. Na Allah akufanyie wepesi katika hii safari na mama.
2025-08-26 06:33:25
0
sultanalubz :
😂😂😂
2025-08-26 07:01:17
0
jamillahmbarak :
😂
2025-09-05 05:34:32
0
jabu Qassim :
Alhamdulilah....Allah ampe shifaa ya haraka
2025-08-26 09:57:05
0
atuulicious24 :
Krish plaza. Kwa Dr. Nabil Chaudhry he's the best. Mom was going there for almost 10yrs after she was operated by Dr. Jeilan from Nrb he referred us to him for the check ups coz msa ilikuwa karibu for us. So In shaa Allah kheir
2025-08-26 15:15:00
3
Mombasa_munchies :
Mashallah mungu amzidishiee …quick recovery to our mom inshallah
2025-10-14 21:07:53
0
To see more videos from user @didashebbs_kitchen, please go to the Tikwm
homepage.