@abdulhafidh575: "SIKU ATAKAYO IBADILISHA ALLAH ARDHI TULIYONAYO NA IKAFANYWA ARDHI NYENGINE NA MBINGI PIA." QR AN

Abdul Hafidh
Abdul Hafidh
Open In TikTok:
Region: TZ
Tuesday 26 August 2025 13:01:35 GMT
1229898
62405
3377
7080

Music

Download

Comments

frank.....malaika
20f. matey :
Kiukweli me natamani san kusrim ila ndo sijuwi kusoma duwa kwakiarabu mpaka nai naogopa ila naiamini dini hiyo ya kiislam mungu unipe nguvu🙏
2025-08-27 17:32:38
1162
abdulrazakkea
Zaujia :
allah atupe mwisho mwema
2025-08-26 15:25:07
804
ghanima.hamadi
Binti :
ustadh kusema ukweli leo ndio nimeogopa sana hadi nimeona jasho linanikatika wallahi bado kidogo nipige kelele yarabi mm mja wako dhaifu nakuomba unisameh makosa yangu na unipe uwoga wa kukuogopa na kukuabudu ww ,wallahi nimetetemeka.
2025-08-26 17:00:44
506
ysc411
Ncs :
Huu ni uongo.Karibuni kwa Yesu mpata mafunzo ya kweli.Ati wanyama wako na roho? 😂 Kwa hiyo wanajua Kuna Mungu? Roho ndio uwezo wa mwanadamu kujua na kuelewa mambo ya Mungu yasiyo onekana.
2025-08-27 08:21:41
26
stevoo1234567890
EV. Stevoo :
uwongo
2025-08-26 14:10:37
16
dr_hamirojo1
سكوفيل :
elezea point ulikusudia ,unatumalizia muda na bando..nan atakufa wa mwisho
2025-08-26 18:41:34
18
makaveli4life19
🚀💜makaveli😈🚀 :
kk nawanaopiga nyeto watafufuliwa wakiwa na alama gan?
2025-08-27 07:21:13
22
dazuu123age
da zuu :
Samahani jamani si Kwa ubaya,wanyama pia watafufuliwa Sasa vp Hawa wanyama tulokula nao watafufuliwa au🤔
2025-08-29 08:17:05
6
abdully007
عبدالرحيم فاضلي :
"ewe mola wangu mlezi😭😭hakika naihurumia nafsi yangu na nazihurumia nafsi za waislam wenzangu...Hakuna awezae kuzihimili hasira zako na wala hakuna mwenye uwezo wa kuzivumilia adhabu zako..tunakuomba utusamehe makosa yetu tunayojua na tusiyoyajua na utujaalie mwisho mwema 🤲🤲amyin🤲🤲😭😭
2025-08-27 19:16:46
69
da66.platinum
Da platinum :
Mm ni Mkristu ila napenda kukuskiliza sababu ww ni MUISLAMU wa matendo na imani wala si wa Jina maana kuna wengi ni WAISLAMU wa jina wala si kiimani na matendo ALLAH akulinde uishi maisha marefu ili utuelimishe
2025-08-28 17:17:04
39
_.thary12
Kau😍 :
ALLAH atupe mwisho mwema INSHALLAH
2025-09-08 08:52:31
12
tumah051
فاطمة جابي :
haya mawaidha yamenijibia swali ambalo niliwahi kumuuliza marehem ostadh wangu since 2008 , na jibu alilonipa ni kama ambavyo wewe umeelezea , mashallah Mashallah Allah akuzidishie kheri na ampe kauli thabit ostadh
2025-08-29 09:18:21
19
alisheli27
sheikh wa masela.🕋🇹🇿+🇴🇲 :
ALLAH ATUPE MWISHO MWEMA 🥹🤲
2025-09-15 00:21:20
13
kimwanabaiby
kimwana i beiby :
Yarabi atujalie mwisho mwema 🤲🤲🤲
2025-09-09 15:19:55
17
salma.salome5
Salma Salome :
Allah atupe mwisho mwema yarabbi n huzuni🙏
2025-09-08 00:05:44
6
rehemajuma8307
rehemajuma8307 :
yaa Rabbi tujalie mwisho mwema amiin
2025-09-06 06:17:01
6
user38432937127385
abduli :
mkrsto anasema huu uongo lakin ametulia hata kula kitimoto kaacha anasikiliza maneno matamu na ya haki
2025-08-28 11:21:20
12
user6969517092387
ysha :
ya Allah tupe mwisho mwema waja wako 😭😭😭
2025-08-27 09:50:20
10
senza_girl
Madame Senza :
tujitahidi kuwaombea magjfira maiti wetu jamani😭
2025-08-27 06:28:43
76
user991162211462764
user9911622114627 :
A. Aleykum, kwa manufaa ya wenzangu naomba utujuze swala hili, eti kuna dhambi ndogo na dhambi kubwa??
2025-08-26 13:29:46
7
failunaabdallah4
Failuna Abdallah :
Allah atujalie mwisho mwema inshaallah 🤲 Allah akubarik kwaelimu Yako mashaallah ila maneno mazito San
2025-08-28 20:20:52
5
user6961748778816
nasma :
Allah atujalie mwisho mwema
2025-08-26 18:46:36
46
young.king546
Young King :
Ustadh Shukran sana.. Umeniongeza ham ya kuipa umakini Qur'an..
2025-08-26 14:13:16
66
allydollars26
Allydollars📉 :
Mungu Atakulipa kwa hili unalo lifanya aise kazi nzul sana mungu atupe mwisho mwema inshallah 🙏
2025-08-26 19:22:56
109
To see more videos from user @abdulhafidh575, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About