@ibn_abuu_idd: KAMA HAYA NI HARAMU MBONA MWAKOSA NIDHWAMU MWAJA MWAFANYA QIYAMU KANDO KANDO MWASIMAMA (MAULIDI SI BIDAA SISI TWASEMA YAFAA FUNUENI MWAKATAA IBN TAYMIYAH AKASEMA) MWEZI WA KUSHEREHEKEA MAZAZI YA MTUME HUU MWEZI ALOZALIWA MTUKUFU WA DARAJA MTUME MUHAMMAD(S.A.W) @علي مدير @@Kifly_Subky @xurgent Kidali 58# @Mabrouk 10 #maulidnabimuhamammadsaw #muslim #maulidnabi #creatorsearchinsights #foryoupage
Mambo n mawiliii usomeee maulidiiii au uhameee mjiiiii🤭🥰
2025-08-27 09:34:57
26
kuta za juu :
mawahabi matako ya mama zenu...
2025-09-07 09:56:27
3
UNSTOPPABLE HUSTLER 😎🇹🇿🇦🇪 :
🤣🤣🤣ila sheikh WALID bana
2025-08-31 15:59:15
0
@Habeeb_217 :
Al Marhum Babu yangu Al Seiyyd Omar Al Atta's (R.A)
Aliwahi niachia Wasia na kuniambia:
usibishane nao hao wakija kuwavamia na kuongea sana wewe wajibu kwamba
NYIE INGIENI PEPONI NA SISI TUPO TAYAR KUINGIA MOTONI KWAAJILI YA MTUMI (S.A.W) 🥰🥰
2025-08-27 08:45:38
21
أبو رميسة :
Huyu si mufti n basha fulani
2025-08-26 20:09:20
5
Ady rashd :
mashallah ❤️
2026-02-04 09:45:49
1
user287229842479 :
saw
2025-10-22 18:37:57
1
MDIGO PURE :
wallah Kila napoisikia qaswida hii napakumbuka MAHDI SHAMSIL MAARIFA ALLAH amraham mtunzi wa qaswida hii SHEIKH MUHAMMAD BIN ABIBAKAR ALBURHAN
2025-08-27 09:21:24
18
Saida Soliman :
mashaallaah ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️
2026-02-23 19:52:50
1
Akida tz :
Aya nimaulidi sasa tanga moja 😄😄
2025-08-26 19:31:53
6
falhaty muniruu :
munazugwa hapo nyie mwapiga makeleke mwenzenu anajifanyia Adhikar n a tasbihitazima hapo hamjapata kitu bora murud makwenu mkalale
2025-08-31 17:44:21
0
zuuhgomba1♈️ :
Wale wa babati shamsul maarif 🥰🌸
2026-03-07 12:50:15
2
Hawa Hassan :
swallu allanabii kwaraha kama hiii mwatakajee wapingao maulidi cc.na mtume na . mtume na sisi mpaka peponi ❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️❤️mashaallah mashaallah mashaallah mashaallah Raha mpaka basi
2025-08-28 15:45:54
3
Raj :
sasa huo ni wimbo wa kumsifu mtume ?
2025-08-29 03:06:26
2
Ally Amani :
maulid hayana neno, yana thawabu adhwiima
2025-09-04 03:25:10
2
%Nana Sumaiya% :
wakijichanganya tu kutuambia maulidi ni bidaa kuna tingatinga limeandaliwa mwaka huu ndo mwisho wa kukaa nchi yenye inasomwa maulidi ngoja tuwavumilie mpka mwezi wa 12 lkn sisi hatutowapeleka mbali acha tuwapelek tanga kondoa dodoma mamburui na kenya yake ili mkaugulie maumivu ya moyo vizuri maan kila siku mtakua mnaona zafa na dufu kupigwa ila poleni bhwan jmn ambao mnasema maulidi ni bidaa hamjanishauri kukaa mbali na maulidi 🥰🥰