@roc_tv: Mwimbaji wa nyimbo za injili Patrick Kubuya aeleza yale usioyajua juu ya wimbo wake wa 'SIJAONA KAMA WEWE' . . #viralreels #sautitherapy #roctvtransforminglives #gospel #injili
Najikuta natoa machozi!!!dear God just use the rest of my days to glorify you’re name 🙏🏽🥹💯✋🏾
2025-08-26 20:29:46
310
theDon :
You thought it was an interview and it turns out to be an atmosphere changing worship experience.
2025-08-26 22:16:21
362
JOY💍✝️ :
Nahum 1:5
The mountains shake before the LORD and hills melt before Him🙏🙏
2025-08-27 04:58:49
204
K Brian :
natamani sana kumjua mungu namna hii
2025-08-26 20:21:34
315
Dan :
There is no psalms 100 48
2025-08-27 00:50:13
28
VIP MOTHER NATURE :
Nakupenda YESU wangu wangu 😭🙌🏽 Kama unaangalia jumatano like hapa
2025-08-27 09:22:45
234
Veeh :
listening to this while feeling like giving up😔😔😔
2025-08-26 20:51:07
96
@John_Isaac :
Mungu uliyenitoa Kwa matamanio ya ulimwengu na tamaa za ulimwengu uzidi kuinua na mwingine
2025-08-27 11:18:21
128
Enock Chumo :
This man is indeed underrated,,, His songs are way above in Spirit! God bless you!
2025-08-27 03:04:58
137
Evangelist Richard 🙏 :
Patric kubuya Mix Boaz Danken aaah nabarikiwa sana🙏Nyimbo zenu ni zaidi ya Worship😢🙌🙏🙏
2025-08-27 07:51:13
110
RUTHNKYA :
huyu kaka nyimbo zake zinanibariki Sana,,, sijui kwa wengine ila kwangu. Nina shuhuda na nyimbo zake🥹🙌
2025-08-27 06:18:15
95
VancyWills :
You can tell huyu jamaa ana hofu kuu ya Mungu hata kwa kuangalia facial expression yake. Huu wimbo wake umebeba ukuu wa Mungu Ndiyo maana una uwepo wa Roho wa Mungu hata kwa kukuskiza unaweza pata ukombozi katika nyaja mbali mbali za maisha. God has his people on earth and He is pleased with then indeed
2025-08-27 13:41:40
78
FARHAT 💕🇹🇿 :
Today is my birthday Amen 🙏🏾 ❤️
2025-08-27 18:30:35
20
Florence Betty257 :
if God did for him He will do it for us
2025-08-27 06:28:43
27
Sammy Ceagan :
So this is a Holy ghost composition...achana Ile yenu ya wiki Moja umetoa album ya wimbo kumi na mbili😆
2025-08-27 05:22:50
92
Lidia_Mganga :
kama unaguswa na nyimbo za Patrick Kubuya acha like yako hapa please 🙏🔥🔥
2025-08-27 12:11:22
116
TAITA KINGPIN🇰🇪 :
bahari yakutiii, milima yatetemekaa , Kwa sauti yako tuu mumbaji wa vyote,🙌 nothing is impossible with God
2025-08-27 03:37:16
64
itsreyoutfits👗👖👜🛍 :
sijui hata kwanini huwa nalia nikiwa nasifu☺️
2025-08-27 10:29:32
41
@Godisable :
mathayo 8: 27
Wale watu wakamaka wasema, huyu ni mtu wa namna gani hata pepo na bahari zamtii?
2025-08-27 16:14:44
11
Lilian Josephat :
natamani kuwa karibu na MUNGU wakati wote
2025-08-27 04:41:28
26
Irine Munialo :
huku nje kweli watu wanatafuta mungu
2025-08-27 10:40:35
13
God’s battle axe :
who is this guy...I don't listen to swahili gospel lakini huyu nimekubali...he receives songs from the throne
2025-08-27 12:23:21
14
Angel mapunda :
Yani Kuna hii unaweza milele 🤣🤣
Yan mm Patrick na Boaz danken nasali nao Kila ninaposikia nyimbo zao
2025-08-27 15:32:28
7
Vee🌹 :
🔥🔥🔥🔥huo kwangu ndio wimbo wangu pendwa siku zote
2025-08-26 21:20:25
19
mcbaraka_events :
Achana na akina Joel Lwaga anataka wimbo uwe viral tu, hii ni mutu ya Mungu Patrick Kubuya 🔥🔥
2025-08-27 08:28:14
6
To see more videos from user @roc_tv, please go to the Tikwm
homepage.