@kautvtz: Mwanamke mmoja wa Nigeria amehukumiwa kifungo cha miaka 7 jela au kwa kosa la kula nauli ya mwanaume ambaye alitumwia kisha hakwenda kwa mwanaume huyo. Mwanamke huyo alishtakiwa na mwanaume ambaye alituma nauli hiyo kwa kusema alimtumia nauli mwanamke huyo lakini baada ya kutuma nauli mwanamke huyo hakuweza kwenda. Mahakama imemkuta na hatia mwanamke huyo na kumfunga miaka 7 jela. . . . . #kauUpdates #tanzaniantiktok🇹🇿 #news #foryoupage #new_trending

kautvtz
kautvtz
Open In TikTok:
Region: TZ
Wednesday 27 August 2025 10:16:03 GMT
1829
42
3
2

Music

Download

Comments

lordriden99
lordriden :
shafii
2026-06-09 15:54:19
0
kakajr2004
Official-ramadhani :
hiyo law ingeletwa tanzania
2025-09-05 16:33:55
0
teammapenzi1
Rugalabamu :
hii Shelia imepita tanzania oyeeee
2025-09-05 19:25:42
0
To see more videos from user @kautvtz, please go to the Tikwm homepage.

Other Videos


About