@khomeintv: Wanawake jijini Dar es Salaam na mikoa jirani, wameombwa kujitokeza kwa wingi kwenye uzinduzi wa kampeni za Uchaguzi Mkuu wa Rais, Wabunge na Madiwani kwa Chama Cha Mapinduzi (CCM), zinazotarajiwa kuzinduliwa kesho Agosti 28, 2025 na Mgombea Urais wa chama hicho Dkt. Samia Suluhu Hassan, katika viwanja vya Tanganyika Packers Kawe. Wito huo umetolewa na Dkt. Ellen Otaru, huku akisema kuwa wanawake wanapaswa kujivunia Dkt. Samia kutokana na kufanikisha maendeleo kwenye sekta mbalimbali zikiwemo elimu, uchumi, afya na Nishati hivyo ni wakati wa kumuunga mkono kwenye kampeni za kuwania kuiongoza tena Tanzania kwa miaka Mitano ijayo. #KhomeinTvUpdates
✍️ Juma Mohamed
PIA USIACHE KU SUBSCRIBE
CHANEL YETU Khomein TV
YOUTUBE UWE WA KWANZA
KUFIKIWA NA HABARI ZETU
Follow Insta @khomeintv_
Tufollow pia kwenye X (Twitter), TikTok
@khomeintv na Facebook Khomein Tv
Khomein Tv
Region: TZ
Wednesday 27 August 2025 18:01:00 GMT
Music
Download
Comments
WinnieJohn :
nenda mwenyewe kwa mama yako
2025-08-28 11:44:28
1
user1322214941561 :
nyokololoo
2025-08-28 11:28:25
0
user9026705325761 :
huyu nae wa wap
2025-08-27 18:57:28
0
Ritha Donatus :
nenda mwenyewe mwendawazimu nini
2025-08-28 12:28:13
0
ferdinand :
nenda mwenyewe
2025-08-28 09:32:06
0
fatumayasin946 :
umenena mama sisi tunataka amani
2025-08-28 06:37:22
0
ahmed hassan :
peleka ujinga kule mpumbavu mkubwa
2025-08-27 18:32:59
0
Baja Quzo :
kuma ww nyoko ww
2025-08-27 20:18:19
1
Beath Elasms :
mhhhh😳😳😳😜😜
2025-08-27 19:02:57
0
To see more videos from user @khomeintv, please go to the Tikwm
homepage.